Baba Madeni Lyrics
Baba Madeni Lyrics by JAMES MOTO
Mtaani wanamuita baba madeni
Kila anapopita macho usoni
Sio kwamba ye anapenda kuwa hivyo
Ila ni kukosa pesa ndo chanzo cha matatizo
Majirani wanamdai kama wote
Mtaani haonekani Insta kama Dangote
Kila duka anadaiwa kama teni
Anaogopa kupita naprint tuchochoroni
Benki anadaiwa laki tano
Aliweka bondi haki ya kiwanja kwa mkutano
Sasa hivi anaishi kama popo
Leo yuko Sinza kesho gongo la moto
Mwenye nyumna hamtaki kwake kabisa
Na juzi kampa notice kisha ati wanasepa
Madeni yakafanya akwa star
Anashindia tu ndani nnje ni balaa
Nje ni balaa anashindia tu ndani
Nje ni balaa
Kila kona akipita wanamwita(Baba madeni)
Hadi mademu wanamuita(Baba madeni)
Baba mwenye nyuma anamuita(Baba madeni)
Majirani wanamuita(Baba madeni)
Baba madeni, baba madeni
Kwake mademu kibao wanamdai pesa mingi
Masista duu wa mjini wanaojina mashangingi
Kila kona guest zinamdai
Kupita anaona noma kwa sababu hana bei
Mademu wengi wakimuona wanaenjoy
Wanashoboka na yeye kwa sababu handsome boy
Wanakuja kwa rahisi wakidhani ye ni tighter
Anawapa maneno kisha anawakopa K
Kila kona akipita wanamwita(Baba madeni)
Hadi mademu wanamuita(Baba madeni)
Baba mwenye nyuma anamuita(Baba madeni)
Majirani wanamuita(Baba madeni)
Baba madeni, baba madeni
Watch Video
About Baba Madeni
More JAMES MOTO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl