Heri Taifa Lyrics
...
Heri Taifa Lyrics by ISRAEL MBONYI
Nikasikia sauti nyikani
Tengenezeni njiya yake, nyosheni mapito yake
Sogeleeni kiti cha neema
Mpate utakaso
Oh what a blessing
Oh what a grace
Heri aoshae (afuae)
Kanzu yake ndani ya damu
Akiliamini neno alilo ambiwa nae
Atakua kama Mti kando ya maji
Majani yake huyo
Yatakua ma bichi daima
Heri walio na hilo agano
Wanaye Mungu Kama mwokozi wao
Watasitawi nyumbani mwake
Hao wataitwa wana wa upendo
Tutasitawi nyumbani mwake
Sisi, tutaitwa wana waupendo
Heri aoshae (afuae)
Kanzu yake ndani ya damu
Akiliamini neno alilo ambiwa nae
Atakua kama Mti kando ya maji
Majani yake huyo
Yatakua ma bichi daima
Heri walio na hilo agano
Wanaye Mungu Kama mwokozi wao
Watasitawi nyumbani mwake
Hao wataitwa wana wa upendo
Tutasitawi nyumbani mwake
Sisi, tutaitwa wana waupendo
Moyo wangu, Sifu mungu
Sifu mungu sifu mungu
Nuru ilikuangaziya We Uliye mpole
Utairithi inchi, Utafarijiwa
Moyo wangu, Sifu mungu
Sifu mungu sifu mungu
Nuru ilikuangaziya We Uliye mpole
Utairithi inchi, Utafarijiwa
Heri aoshae (afuae)
Kanzu yake ndani ya damu
Akiliamini neno alilo ambiwa nae
Atakua kama Mti kando ya maji
Majani yake huyo
Yatakua ma bichi daima
Heri walio na hilo agano
Wanaye Mungu Kama mwokozi wao
Watasitawi nyumbani mwake
Hao wataitwa wana wa upendo
Tutasitawi nyumbani mwake
Sisi, tutaitwa wana waupendo
Heri taifa ambalo Bwana ni mungu wao
Ni wana wa upendo
Aliyo wachagulia, kuwa urithi wake
Heri taifa ambalo Bwana ni mungu wao
Ni wana wa upendo
Aliyo wachagulia, kuwa urithi wake
Heri taifa ambalo Bwana ni mungu wao
Ni wana wa upendo
Aliyo wachagulia, kuwa urithi wake
Heri taifa ambalo Bwana ni mungu wao
Ni wana wa upendo
Aliyo wachagulia, kuwa urithi wake
Watch Video
About Heri Taifa
More ISRAEL MBONYI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl