Tausi Wangu Lyrics
Tausi Wangu Lyrics by HAPPY C
Fumba macho usione, nina zawadi nimekuletea
Baby no usigome, kama mapenzi basi ongezea
Asali yangu nairamba nimalize kibuyu
Wangu wa ndani nimumunye mi ni wako mahabusu
Usinitenge kwenye msoto,kwenye joto nifute jasho
Nibembeleze kama mtoto uilinde hadhi yangu
Wenye husda achana nao
Tumejenga kuta ya kutengana nao
Wenye husda achana nao
Tumejenga kuta yeah yeah yeah yeah
Tausi wangu wa pekee (Ooh)
Kipenda roho wa pekee (Ei yeah)
Tausi wangu wa pekee (Oooh)
Kipenda roho wa pekee (Ah yeah yeah yeah)
Moto umeuzima,siwezi kwenda kwingine
Tumekula yamini, mimi na wewe
Umenivuruga umenifanya dondocha,siwezi dondoka umenishikilia
Mapenzi tamu tamu unanipa naburudika nafarijika mama
Wenye husda achana nao
Tumejenga kuta ya kutengana nao
Wenye husda achana nao
Tumejenga kuta yeah yeah yeah yeah
Tausi wangu wa pekee (Ooh)
Kipenda roho wa pekee (Ei yeah)
Tausi wangu wa pekee (Oooh)
Kipenda roho wa pekee (Ah yeah yeah yeah)
Ooh yeah Ooh
Simama wakwone Jishebeshebedue
Cheza wakwone wakomeshe
Simama wakwone ringa ringa
Cheza wakwone wakomeshe
Simama wakwone Jishebeshebedue
Cheza wakwone wakomeshe
Simama wakwone ringa ringa
Cheza wakwone wakomeshe
Sultan 001
They call me Happy C yeah
Yeah yeah
Watch Video
About Tausi Wangu
More HAPPY C Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl