ZUCHU Wale Wale cover image

Paroles de Wale Wale

...

Paroles de Wale Wale Par ZUCHU


Sis indo wale wale

Mlio tukataa

Mkasema hatufiki mbalee (na samba lamaa)

Sasa tumejipata

Ni zuchu chu chu chu chu

He he he

Ayo trone

Ai wewee

Troniiii

Eeeeh

Ayayayaya

Ulivyonipiga juju

Ulidhani nitagwaya

Hukujua nina mungu

Ayayayaya

Eti nile chukuchuku

Mambo yangu yako sawa

Nishashiba kukukuku, hee

Chote ni choyo, na sijalii

Ndio kina, waumiza

Na mungu wangu (na mungu wangu)

Yu ngangari, cheza nami atawamaliza

Karibu ntanunua gari

Nakuja kwenu

Itaneni muambizane mje mjae (mama sumaa)

Maisha yangu ya bei ghali kuliko yenu

Mi ndo yule mlikatazwa, msicheze nae

Sisi ndo nani (sisi ndo wale wale)

Sisi ndo wale wale (mlio tukataa)

Mlio tukataa (mkasema hatufiki mbalee)

Jamani mungu si athumani (sasa tumejipata)

Aai aaah hee (sisi ndo wale wale)

Sisi ndo wawawawa (mlio tukataa)

Mlio tukataa (mkasema hatufiki mbalee)

Jamani mungu si athumani (sasa tumejipata)

Aritikitiki tikitiki

Eeh rikiti tikiti

Tikiti tikiti tikiti tikiti

Hee, arerererere

Are tokoto tokoto

Tokoto tokoto, tokoto tokoto

Eeeh

Ooh eti ntakufa

Kwani we utaishi milele

Nilipozitafuta

Mbona mliniacha mwenyewe

Hizo chuki na pupa ooh

Ndo zinofanya mchelewe

Kwa kushinda kutwa

Roho mbaya na viherehere

Hee na mwaka huu

Mtaisaga rumba eh kwanini

Maana nimemowomba mungu mpaka nyumba

Na mjiandae kwa sare

Za ndoa sio uchumba eh waganga

Waganga wenu wambieni wakoleza ndumba

Binadamu ni waajabu sana

Jaaba sana

Wana maneno kukatisha tamaa

Binadamu ni waajabu sana

Wana matendo ya kuumiza sana

Walisema eti nna nuksi ya senti

Nyota yangu ya boda ya kwao ya jeti

Nani wa kunidate

Bega kama kenchi

Kudadeki zenu asa mbona mnakechi

Ooh sisi ndo wale wale

Sisi ndo wale wale (sisi ndo wale wale)

Mlio tukataa (mlio tukataa)

Mkasema hatufiki mbalee (jamani mungu si athumani)

Sasa tumejipata (aai aaah eeh)

Sisi ndo wale wale (sisi ndo wawawawa)

Mlio tukataa (mlio tukataa)

Mkasema hatufiki mbalee (jamani mungu si athumani)

Sasa tumejipata

Aritikitiki tikitiki

Eeh rikiti tikiti

Tikiti tikiti tikiti tikiti

Hee, arerererere

Are tokoto tokoto

Tokoto tokoto, tokoto tokoto

Eeeh

Ecouter

A Propos de "Wale Wale"

Album : (Single)
Année de Sortie : 2024
Copyright : ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Ajouté par : Farida
Published : Dec 02 , 2024

Plus de Lyrics de ZUCHU

ZUCHU
ZUCHU
ZUCHU
ZUCHU

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl