
Paroles de Nimechoka
...
Paroles de Nimechoka Par ZUCHU
Umenijengea kumbukumbu
Mbaya kwenye penzi lako
Siwezirudi haat nishikie bakora
Nanena kwa machungu umentendea vibaya
Mi mwana mwenzako
Kwa makusudi furaha umenipora
Ah ah , asante umenifunza
Nionapo njia nichagua ya kuvuli
Mimi, mi sio wa kwanza kuumizwaaaa
Wanatendwa matajiri, sembuse mi hula sifurii
Ah, na nakujua kwa msingizia she kwani
Huyo ni wewe, ni wewe, ni weeweee
Ukinikumbuka usijipigishe yutaniii
Uniache mwenyewe, mwenyewe, mwenyewe niache
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka, basii
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka, basii
Eh, hasira
Hasira ndo maradni yangu
Hasira nimepoteza muda wangu jamani
Hasiiiira Hasira ndo ugonjwa wangu
Hasira nimepoteza lengo langu
Sitamani sitamani makosa niyarudie
Isiwe desturi yangu kuuchuza moyo uumie
Bora nirudi nyumbani Pemba wanitambikie
Nifungwe akili yangu, mawazoni nikutoe
Ooh oh maana nakujua kwa msingizia shekwani
Huyo ni wewe, ni wewe, ni weeewe
Ukinikumbuka usijipigishe yutaniii
Uniache mwenyewe, mwenyewe, mwenyewe niache
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka, basii
We shika zako nami nishike zangu
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka, basii
Ecouter
A Propos de "Nimechoka"
Plus de Lyrics de ZUCHU
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl