ZORAVO Sauti Ya Imani cover image

Paroles de Sauti Ya Imani

Paroles de Sauti Ya Imani Par ZORAVO


Hii ni sauti
Isio dhaniwa na mtu yoyote
Sauti ya imani
Iwezayo kuhamisha milima
Hii ni sauti
Isio dhaniwa na mtu yoyote
Sauti ya imani
Iwezayo kuhamisha milima
(Hii ni sauti
Isio dhaniwa na mtu yoyote
Sauti ya imani
Iwezayo kuhamisha milima
Hii ni sauti
Isio dhaniwa na mtu yoyote
Sauti ya imani
Iwezayo kuhamisha milima
Hii ni sauti
Isio dhaniwa na mtu yoyote
Sauti ya imani
Iwezayo kuhamisha milima
Hii ni sauti
Isio dhaniwa na mtu yoyote
Sauti ya imani
Iwezayo kuhamisha milima)

Naimba ushindi
Hatakama sijaona ushindi
Naimba ushindi
Hatakama sijaona ushindi
(Naimba ushindi
Hatakama sijaona ushindi
Naimba ushindi
Hatakama sijaona ushindi
Naimba ushindi
Hatakama sijaona ushindi
Naimba ushindi
Hatakama sijaona ushindi
Naimba ushindi
Hatakama sijaona ushindi
Naimba ushindi
Hatakama sijaona ushindi)

Ooh ooh ooh, Ooh ooh ooh
Ooh ooh ooh, Ooh ooh ooh
(Ooh ooh ooh, Ooh ooh ooh
Ooh ooh ooh, Ooh ooh ooh
Ooh ooh ooh, Ooh ooh ooh
Ooh ooh ooh, Ooh ooh ooh)

Mimi ni mshindi
Mimi ni mshindi
Mimi ni mshindi
Ninashinda zaidi ya kushinda
Mimi ni mshindi
Mimi ni mshindi
Mimi ni mshindi
Ninashinda zaidi ya kushinda
Yesu ni mshindi
Mimi ni mshindi
Mimi ni mshindi
Ninashinda zaidi ya kushinda
Yesu ni mshindi
Mimi ni mshindi
Mimi ni mshindi
Yeeeh yeeeeh yeeeh
Yeeeh yeeeeh yeeeh
Yeeeh yeeeeh yeeeh
Yeeeh yeeeeh yeeeh
Ninashinda zaidi ya kushinda

Naimba ushindi
Hatakama sijaona ushindi
Naimba ushindi
Hatakama sijaona ushindi
Ha naamini moyoni mimi ni mshindi
Hatakama sijaona ushindi
Naimba ushindi
Hatakama sijaona ushindi

Ecouter

A Propos de "Sauti Ya Imani"

Album : Sauti Ya Imani (Single)
Année de Sortie : 2021
Ajouté par : Farida
Published : Jul 12 , 2021

Plus de Lyrics de ZORAVO

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl