Paroles de Zimeniraa
Paroles de Zimeniraa Par WAHENGA
Nasaka madoh nangoja weekendi
Nizi blow blow blow
Ngeus ni wa klabu ai zii
Sikuli raw raw raw
Caption ni ngori piganga mboto
Tuzi po po post
Umati imelala, angalia po po pori
Haitaki hasira life ni no no worry
Zimenibamba zimeniraru zimeniraa raa raa
Leo ni wikendi wapi? mraa mraa mraa
Ey ey zimeripoti zimeni wah wah wah wah
Zimeniraru zimenikwachu zimenikamata
Mi na kinyaru, gin wadau, ratish kwa calabash
Breakfast in bed hii ni ya bae
Sometimes namshangaza
Ulimi baadae usiseme nalamba ni nyau napapasa
Haitaki hasira we mpe love mi nampea doh kwa wallet
Mchoche kwa picha vile amevaa mi ndo naletewa ni undress
Usimwite goldigger, shore ni deng'a na hii pori ina magnet
Hii paka nailisha cream maziwa haina masaa ya rat race
Nasaka madoh nangoja weekendi
Nizi blow blow blow
Ngeus ni wa klabu ai zii
Sikuli raw raw raw
Caption ni ngori piganga mboto
Tuzi po po post
Umati imelala, angalia po po pori
Haitaki hasira life ni no no worry
Zimenibamba zimeniraru zimeniraa raa raa
Leo ni wikendi wapi? mraa mraa mraa
Ey ey zimeripoti zimeni wah wah wah wah
[Trio Mio]
Zimeripori zimeniwah
Nikisha noti ninareverse
Mfuko ya koti shlingi ya 40
Ganda za njoti mbegu za shash
Jiji masoftie hupigwa makofi
Pa tah tah tah enda stenje ripoti
Utanipata na madenge atoti
Wale hupita na matenje kwa ploti
Huh katoto kagwangi G
-----
--
Ecouter
A Propos de "Zimeniraa"
Plus de Lyrics de WAHENGA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl