Paroles de Lazima Watii
Paroles de Lazima Watii Par VIRUSI MBAYA
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Vile tunakam, lazma watii eeh
Vile tumejam, lazma watii eeh
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Vile tunakam, lazma watii eeh
Tunakam tumejam uh uh, lazma watii eeh
Tokea na kikolo chimbia solo
Ndio mastoner watii
Tokea na mathao na sio za mkopo
Ndio mambleina watii
Tokea na maslay na wote waweigh
Ndio ma hyena watii
Tokea na magoon na wote si wagood
Ndio mafcker wameshatii
Ulikata kutii naskia walikushika hadi mashati
Mi siwezi tumika bro mi si sheria na masharti
Hao marookie lazima watii ndio tukubali waingie pro
Na si please ni lazima watatii ama itabidi watie roho
Kutii lazima utatii ama utatiwa kidole cha kati
Sijui leo niko juu ya nini
But I think ni worse zaidi ya mihadarati
Kijana teenager but anakaa worse than miaka 30
Cheki vile wasee wanatii from mababi to wanatii
Looku fiti cheki dem yako ametii
Ligi bigi mpaka game yako itatii
Mi ni chizi siwezi rap kuhusu Bey T
Daily niko busy nawaambia bei wanatii
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Vile tunakam, lazma watii eeh
Vile tumejam, lazma watii eeh
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Vile tunakam, lazma watii eeh
Tunakam tumejam uh uh, lazma watii eeh
[Oksyde]
Lazima lazima lazima, lazima mafala watazima
CCTV nimepima nacheki tu ni mizinga mizima
Eey ziko fogo kijinga zingine zimesundwa kwa dinga
Mbogi mzima imeririma yoh ni kitu inawashwa ikizima
Vile napull up mbota ni ice nafanya wacool up
Shashula kwa ndula, marashi ni ya reggea ukinusa ni stula
Kanduku lazima tuakishe, kanduku wathii ni lazima nipitie
Manugu ni lazima watii, lazima tuwateke washee
Eey nimesuka atoti tuwake na mbleina atakuja na mbogi
Nachuma kwa koti mbleina anajichocha kurusha soki
Virusi nyambisha hio itoka (Pah Pah pah pah)
Si hivyo ndo mbleina alitokwa (Aha aha, aha aha)
Wanajua ni ngori lugha ya mine ni lazima nikatie
Katoto kapeng na form ikijipa ni lazima nikatie
Wasoro tuwachuje waishie (Lazima watii)
Ama tuwaibie, mambo ni bie eey
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Vile tunakam, lazma watii eeh
Vile tumejam, lazma watii eeh
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Lazma watii, lazma watii, lazma watii eeh
Vile tunakam, lazma watii eeh
Tunakam tumejam uh uh, lazima watii eey
Ecouter
A Propos de "Lazima Watii"
Plus de Lyrics de VIRUSI MBAYA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl