
Paroles de BackBencher
...
Paroles de BackBencher Par Toxic Lyrikali
Mana Tee mboka hmm mboka doba
Eeh skiza
Venye nawaview angle ni ya side mirror
Ka ki lorry nimejibebea ma jichar
Tuko saniffing bado usipo makinika
Usiugue mras skuma gunga adirehab
Country nipige hype ni trace ma mita
Jamdown na nijipin itoka tisa
Namba ni jamo bado sijai badilisha
Labda mtaa ndio niwangoree na class
Chuo tuliwahi E saa hii nawazoza na S class (GLE)
Stima ka Tesla magoat mi ndio shepherd
Chauffer sidai safari najipeleka
S class S class S class convoy
Convoy ndai inaongoza ni defender
Strangers zii, strictly inakuanga members
Backbencher ndani ya S class
Backbencher ndani ya S class
Ndula zero mileage
Ndai speedometer inachezea two sixty
Samahani kwa wenye wako kwa njikili
Roll ki gee ka model anani digi
Naeza jitengenezea biz
Ndula zero mileage
Ndai speedometer inachezea two sixty
Samahani kwa wenye wako kwa njikili
Roll ki gee ka model anani digi
Naeza jitengenezea biz
Trace cash bila short cut
But road ikiwa na jam natumia wrong turn
Very sure hatuwezi crash
S class kigonyi amepitishiwa steam akabonda
Natumia kama Trojan
Kwa madem zao kuwavulia toja
Dirisha zikue top ni hotbox na ma bozza
Kabaridi ni warm up
Full tank namedi kuzoza long term
Chuo tuliwahi E saa hii nawazoza na S class (GLE)
Stima ka Tesla magoat mi ndio shepherd
Chauffer sidai safari najipeleka
S class S class S class convoy
Convoy ndai inaongoza ni defender
Strangers zii, strictly inakuanga members
Backbencher ndani ya S class
Backbencher ndani ya S class
Ukizua utararuliwa rectum
Ficha your mom unaeza skia me ndio stepdad
Diss me nikufanyie disinfectant
Ni ma peptang pepe pepe peta
Nawapita unaeza dhani hawakua in motion
Wekeza mbona unaeka emotions
Ningekua adi teacha moka doba ndio motto
Anyway Kayole bado ni portmore
Venye nawaview angle ni ya side mirror
Ka ki lorry nimejibebea ma jichar
Tuko saniffing bado usipo makinika
Usiugue mras skuma gunga adi rehab
Country nipige hype ni trace ma mita
Jamdown na nijipin itoka tisa
Namba ni jamo bado sijai badilisha
Labda mtaa ndio wangoree na class
Chuo tuliwahi E
Ecouter
A Propos de "BackBencher"
Plus de Lyrics de Toxic Lyrikali
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl