Paroles de 4 AM
Paroles de 4 AM Par THE SNOOPY G'Z
Grrt Tano
MR RIGHT
My G naifanya juu ya cash
Naifanya juu ya shh
Naifanya juu ya benz
Mi ni champ from way back then
Na label si ni top ten
Ka jua hawa maboy wako active
So tuko studed 4AM
Ka jua hawa maboy wako active
So tuko studed 4AM
My G naifanya juu ya cash
Naifanya juu ya shh
Naifanya juu ya doh
Mi ni champ from way back then
Na label si ni top ten
Ka jua hawa maboy wako active
So tuko studed 4AM
Ka jua hawa maboy wako active
So tuko studed 4AM
Snoopy na B Boyz hii gang imeivisha drill
Ukitry kuhate we ni fyat
Tunachimba si ndo drillers
Ka huamini pigwa fi' aha
Everyday man I drill on, drill on
Akili mistari inaring
Kwa ma opps kwendeni huko
Nyi ni mambleina tushawarada
Hii beat nilikill before
Mi ni trippy flow ni killy
Si huchafua scene, chafua scene
Sweep sweep clean
Kwa game mapunchlines tunaamini tutashine
No offence, the Snoop
Si hupiga doba moto flow ni kali
Kwani ni kesho
Alioa Jack after kureport, alistaki
Akaenda majuu na akabaki
Hatuwezi m-wai labda akibaki
Ni ka kulazimisha Ken tuck
Kentucky na Ken hataki
Blackboard tuliwai tunachaki
Mi ni smart kwa street
Uliza Big Yasa na chaki
Ambia aitwe Trevor light ake haiwaki
My G naifanya juu ya cash
Naifanya juu ya shh
Naifanya juu ya benz
Mi ni champ from way back then
Na label si ni top ten
Ka jua hawa maboy wako active
So tuko studed 4AM
Ka jua hawa maboy wako active
So tuko studed 4AM
My G naifanya juu ya cash
Naifanya juu ya shh
Naifanya juu ya doh
Mi ni champ from way back then
Na label si ni top ten
Ka jua hawa maboy wako active
So tuko studed 4AM
Ka jua hawa maboy wako active
So tuko studed 4AM
Mi hudeal with rugs and gees
Macheda na stuck ka logo kwa hip
Madrop naifanyia far B
Si hulack mercy kwa scene
Stinger baller glover innit
Mi unitanitrace IG
Stinger baller glover innit
Utanitrace IG
Been bending on the block
The way the sun inashine kwa skin
M Right, Big Boyz Tano Nane
Snoopy tunakam tunaroll ma beam
Been bending on the block
The way the sun inashine kwa skin
M Right, Big Boyz Tano Nane
Snoopy tunakam tunaroll ma beam
My G naifanya juu ya cash
Naifanya juu ya shh
Naifanya juu ya benz
Mi ni champ from way back then
Na label si ni top ten
Ka jua hawa maboy wako active
So tuko studed 4AM
Ka jua hawa maboy wako active
So tuko studed 4AM
My G naifanya juu ya cash
Naifanya juu ya shh
Naifanya juu ya doh
Mi ni champ from way back then
Na label si ni top ten
Ka jua hawa maboy wako active
So tuko studed 4AM
Ka jua hawa maboy wako active
So tuko stu hadi 4AM
Ecouter
A Propos de "4 AM"
Plus de Lyrics de THE SNOOPY G'Z
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl