Paroles de Leo
Paroles de Leo Par SSARU
Ssaru, haha Okwonko
(Ricco Beatz, Mr 808)
Eeh SSaru manze
Nimekuwa nakudai mimi
Aah baby uko job leo nimekutolea form
Na ufike mapema nikusetie kindom
Eeh ka umesweat kwa bafu ni maji warm
Nimekuja na form nimekuja na kathong
Okey nikifika nakwambia utaogopa
Nina mahanjamu utatoroka (Wacha)
Nitakuchapa italia ka itoka (Boom)
Eeeh umeniroga
Uko kwa kitanda na ni shamba unalima
Sina clothes on nina breath ya tequila
Hii nyama nawe inaonja ka vanilla
Hapa mia kwa mia je tutumie mipira?
Mi ni player kunyandua striker
Nitaichapa mpaka ipige chafya (Achio)
Nitatumia rubber ju bado nitakuchapa
Na utatoka rapper
We ni don caterpiller, bom we ndio killer
Ukivuanga boots usiku mi navua Fila
Tutoane nuks ju kwa life we ndo pillar
Tunavunja rules tunavunja mpaka mila
Ssaru aah nakudai leo
Ah eti unanidai leo
Manze nakudai leo
Yaani leo, leo leo leo
Ssaru aah nakudai leo
Ah Mejja ati unanidai leo
Manze nitakuchapa leo
Yaani leo, leo leo leo
Mi nataka uilambe na vanilla
Nikustick kwa ukuta ka manilla
Sihisi nguvu ka ile saa ya majira
Nimembaka nimetoa mishipa
Napenda wakati umetoka aluta
Wakati uko matings nikugware na makucha
Nataste kama Fanta bambucha
Hapa si tukianza twamaliza kukikucha
Nitakuchapa mpaka utashuta
Napenda kukuona ukijiguza
Na mahaga imepakwa mafuta
Si ile imeparara ukiwa doggy unashtuka
Nacheki venye unaitoa kwa bukta
Leo unachapa job sindikiza na mashuksha
Uko high we unataka kupuruka
Mi nataka more kichwa inataka kuruka
Aaah Okwonko nakudai leo
Eeh unanidai leo
Aha mi nakutaka leo
Yaani leo, leo leo leo
Ssaru aah nakudai leo
Ah Mejja ati unanidai leo
Manze nitakuchapa leo
Yaani leo, leo leo leo
Ecouter
A Propos de "Leo"
Plus de Lyrics de SSARU
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl