Paroles de Gang Gang
Paroles de Gang Gang Par SESKA
Gang gang cheki tuna burn burn
Gang gang cheki tuna burn burn
Si ni mafyatu tunatembea na dagger ndani ya viatu
Na guns ju tuna allergy za watu
Ma 1, 2 na ukilete ufala tuna ku-undo
Tuna magoons wanatumia vidonda kama tattoo
We si nugu we ghasia
Sijai patana na manzi anaweza nikazia
Na si macho solo pia hii mjulu haina pazia
Nyi ndo hucheza ndogo kama jegi za Azziad
Huh ogopa mbogi, ogopa hommie
Ogopa dem wa Nairobi, ogopa odi
Ogopa mpaka igeuke hobby
Ogopa hii combi lakini rende
(Lakini rende ng'ora)
Ng'ora rende, ng'ora rende
Ng'ora rende aah
Ogopa rende, ogopa rende aah
Ogopa rende aah
Ng'ora rende, ng'ora rende
Ng'ora rende aah
Ogopa rende, ogopa rende aah
Ogopa rende aah
Gang gang cheki tuna burn burn
Gang gang cheki tuna burn burn
Gang gang cheki tuna burn burn
Gang gang cheki tuna burn burn
Siwezi pin shang' na nikose za sapa
Siku hizi rolemodel kwa watoi ni ma gangster
Notorious na mamonster hawajadiscover purpose
Na thug akibaki huku anamotivate youngster
Na pia tumejipin na sisi si wanasiasa
Deep sea Umosheng hapa Kanairo
Bila dagger opp anaeza mangwa na biro
Ndio reason mbanga anabebaga refu na Bible
Buda weng, dunda cheng, sunda rieng
Stunya bas kwa bukla
Ass ya Huddah, das kwa duka
Na si husukwa
Another hit baada ya hit
Hit hit mother beat
Na ma hit after hit
Hit hit after shit
Pia matit after tit
Tit tit na matat kwa kucheat
After cheat cheat chit kwa kuchat
Magazine riftle, murder scene psycho
Extra scene fly go
Megapin my flow
Naipin naigo, naisteal Bible
Naising naishow biting by 4
Ng'ora rende, ng'ora rende
Ng'ora rende aah
Ogopa rende, ogopa rende aah
Ogopa rende aah
Ng'ora rende, ng'ora rende
Ng'ora rende aah
Ogopa rende, ogopa rende aah
Ogopa rende aah
Gang gang cheki tuna burn burn
Gang gang cheki tuna burn burn
Gang gang cheki tuna burn burn
Gang gang cheki tuna burn burn
Kam kam Umosheng hood gwan
Mrazi leta ubomboclat nakuscanam
Gang gang cheki tuna burn burn
Slim jina kubwa majege ndo mafan
Plan ya malugz, Timber na maclarks
Mambichwa kwa kichwa na seti ni Oxford
Mrembo maringo sipendi
Koinange na afford
Slim CD changer Trust mfukoni
Kesi baadae arif ni Sherrif
Rafiki polisi maganji siwapi
Watiaji ndo wale wagenge ndo sisi
Sisi sisi sisi gang gang
Kisu cha ngariba, kisu cha ngariba
Tusipeleke madem irima ya ngariba
Kisu cha ngariba, kisu cha ngariba
Ma-lady madem hawafai kisu cha ngariba
Mila ni ya mandume usitae mke
Kutae ibaki tu ni mila ya maume
Mila ni ya mandume usitae mke
Kutae ibaki tu ni mila ya maume
Kata ngozi ya mboo, kata ngozi ya mboo
Sare ndoko mbosho, msare usivunje law
Ukimtoa umekunja law
Ukimtoa umevunja law
Ukimtoa umeguza law
Kutae dem ni again'st the law
Ukimtoa umekunja law
Ukimtoa umevunja law
Ukimtoa umeguza law
Kutae dem ni again'st the law
Ukimtoa umekunja law
Ukimtoa umevunja law
Ukimtoa umeguza law
Kutae dem ni again'st the law
Ng'ora rende, ng'ora rende
Ng'ora rende aah
Ogopa rende, ogopa rende aah
Ogopa rende aah
Ng'ora rende, ng'ora rende
Ng'ora rende aah
Ogopa rende, ogopa rende aah
Ogopa rende aah
Gang gang cheki tuna burn burn
Gang gang cheki tuna burn burn
Gang gang cheki tuna burn burn
Gang gang cheki tuna burn burn
Ecouter
A Propos de "Gang Gang"
Plus de Lyrics de SESKA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl