Paroles de Unaboa
Paroles de Unaboa Par SAI KENYA
(Shirko Media)
Najibiwa sometimes, unaniona nina gubu
Naona bora ninyamaze tu niwe mjinga
Sioni baya sisemi, nishaamua kuwa bubu
Mnyonge ninyonge haki iwe kinga
Moyo unakukataa
Saa nyingine unakukubali
Japo unanitenda, unanitesa
Tu navumilia
Wivu sijakataa ninao
Kweli nakubali
Yote kisa nakupenda
Ndio maana nalia
Hauna muda na mimi
Kwako mpira muhimu
Utadhani unalipwa
Kwani we Ferguson?
Mchafu wako oilini
Mwepesi kunihukumu
Bize bize kutwa
Kama malaika wa motoni
Hata hufanani na kiburi
Unaboa, unaboa
Hujawai nisifu mimi mzuri
Unaboa, unaboa
Mataani na mimi ndo sifuri
Unaboa, unaboa
Wenzangu unawaita vituyuri
Unaboa, unaboa
Tamu yangu nini?
Natamani siku nami niulizwe hali yangu
Nisiishie kuyaona mazuri tu kwa wezangu
Kukwepa mawazo na kukesha twendeni mwangu
Ningejaliwa mtoto ningecheza na mwanangu
Nahitaji, leta kitendo
Japo nipigie, leta kitendo
Usinikimbie, leta kitendo
Nisije...
Basi nishtukie, leta kitendo we
Usininunie, leta kitendo
Penzi nihurumie, leta kitendo
Nahisi kukuona mpenzi
Hauna muda na mimi
Kwako mpira muhimu
Utadhani unalipwa
Kwani we Ferguson?
Mchafu wako oilini
Mwepesi kunihukumu
Bize bize kutwa
Kama malaika wa motoni
Hata hufanani na kiburi
Unaboa, unaboa
Hujawai nisifu mimi mzuri
Unaboa, unaboa
Mataani na mimi ndo sifuri
Unaboa, unaboa
Wenzangu unawaita vituyuri
Unaboa, unaboa
Hata hufanani na kiburi
Hujawai nisifu mimi mzuri
Mataani na mimi ndo sifuri
Wenzangu unawaita vituyuri
Tamu yangu nini?
Ecouter
A Propos de "Unaboa "
Plus de Lyrics de SAI KENYA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl