SABAH SALUM Hisani yangu  cover image

Paroles de Hisani yangu

Paroles de Hisani yangu Par SABAH SALUM


Hisani yangu imenipoza mie
Imenifanya nidharauliwe
Kwa kuwa hali yangu  ya mwenzangu miee
Sina wema katika hii dunia
Kila balaa limeniangukia
Leo hii sina raha sitaki kuyasikia mimi
Kwa ukweli yanauma yanatia na uchungu
Kunichoma yanachoma ndani kwenye moyo wangu
Sitaki kujikera nimechoka namaudhi nafsi yangu
Kila kukicha balaa linazushwa kwangu mie
Lawama ninatupiwa mbayambaya mitaani
Ubaya ninaotiwa kwa watu sina thamani mimi

Hisani nilofanya wachainigeukie
Utu hauna maana niliofanya mie
Nimedharauliwa sana mbele ya kitu mjue mimi
Kama nilawama na nialaumie
Na litakalo kuwa lolote naliwe
Binadamu hana wema ata vipi afanyiwe
Ooooohhhhhh
Nilivyosalitiwa katika mapenzi yangu
Nia kumbe ilikuwa kuvunjwa life yangu
Vyovyote itavyokuwa watakumbuka fadhila zangu mimi
Ila kulirudisha penzi ni ngumu wala sitaki
Nishauma siwezi bora na iwe khalasii
Mimi na yeye mapenzi nasema na yawe basi mimi

Asofadhila ni ngumu kufadhilika kwa jema
Kaona kipya kijemi kanisalita bayana
Kama kaona kapata basi amepatikana yeye
Mimi kwa upande wangu sijifananishi nae
Hata iwe roho yangu siko sawasawa nae
Na mudu maisha yangu yanifae baadae mimi
Kama nikupata basi naapate
Awe ivyoivyo juu asishuke
Siwezi kuiziba ridhiki yake oohhhoo

Kuepuka matatizo shari naepuka nayo
Kwani toka zama izo sina jema mimi kwao ohho
Kwa kuwa sina uwezo ule watakao wao
Tungeumbwa sote sawa tusingeheshimiana
Weee binadamuuuuu
Ndio maana tumeumbwa watu hatujafanana
Bora nibaki nadhiki kuliko maudhi bhana
Inaumaa yanachomaa yanauma yanachoma
Yanachomaa yanauma yanachoma

Ecouter

A Propos de "Hisani yangu "

Album : Hisani yangu (Single)
Année de Sortie : 2022
Copyright : ©2022 Chamazi Music Records.
Ajouté par : Baraka B mkande
Published : May 05 , 2022

Plus de Lyrics de SABAH SALUM

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl