Paroles de Sesa
Paroles de Sesa Par RUBY
Sesa, sesa sesa
Sesa, mwana sesa
Mwana sesaa aah...
Nakupenda mwana sesa
Mwanasesa aah
Umezaliwa kwa udongo
Na sifa nakupa pole
Hata hujapata mkongo
Unafanya nafika kule
Ooh mwana sesa, sesa
Sesa aah, sesa
Nasema nasema, nasema hadharani wajue
Mapenzi unayonipa sitaki mwingine umgawie
Nasema nasema, nasema hadharani wajue
Mapenzi unayonipa sitaki mwingine umgawie baba wee
Wuuuuu...
Oooh sesa (Sesa)
Nakupenda mwenzio (Sesa sesa)
Oooh sesa (Sesa)
Nakupenda mwenzio (Mwana sesa)
Mambo aste aste (Sesa)
Uje katili mwenzio (Sesa sesa)
Unidate date (Sesa)
Ukiungua kilio (Mwana sesa)
Hajanichota ka unyayo
Wala kunifanyia zeze
Haya ni mapenzi yananifanya nijieleze
Ashanijaza manyota ona ninavyopepea
Kwake linge maruani ameyatuliza
Akinishika hapa, shika pale
Taratibu naenjoy
Ndege nishanasa sichomoi
Ananifanya naenjoy
Nasema nasema, nasema hadharani wajue
Mapenzi unayonipa sitaki mwingine umgawie
Nasema nasema, nasema hadharani wajue
Mapenzi unayonipa sitaki mwingine umgawie baba wee
Wuuuuu...
Oooh sesa (Sesa)
Nakupenda mwenzio (Sesa sesa)
Oooh sesa (Sesa)
Nakupenda mwenzio (Mwana sesa)
Mambo aste aste (Sesa)
Uje katili mwenzio (Sesa sesa)
Unidate date (Sesa)
Ukiungua kilio (Mwana sesa)
Ecouter
A Propos de "Sesa"
Plus de Lyrics de RUBY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl