ROSTAM  Kaolewa cover image

Paroles de Kaolewa

Paroles de Kaolewa Par ROSTAM


It's Rostam baby...

Kaolewa eeh
Na nani kaolewa
Wanasema haolewi kaolewa
Hee
Makubwa mbona pambee
Huyuhuyu mwajuma nchokonowe

Aaah mwajuma gani
Yule mtoto wa mkunga
Asiye vaa za dukani ye kutwa nguo za mtumba
Bwana bwana bwana
Tayari kapata mchumba
Yani huku kumedamshi njoo tufinye mpunga
Siwalisema yule mgumba eti kizazi hana
Mtaani kicheche sana imekuaje kapata bwana
Mmhh
Ndoa bwana kama utani mwana
Unaminyaminya nyanya unanunua biringanya

Siwanasema sigara nyota
Nawasha mbele na nyuma
Mwana gani huyo goroka
Sibora angemuoa muna
Muna gan yule Baba willi
Acha utani tukeshe mpaka alfajiri

Mwajuma kaolewa (eeeje na nani)
Kaolewa, wanasema haolewi kaolewa
Makumbwa mbona pambe
Huyu huyu mwajuma nchokonowe
Anamelemeta, Anamelemeta
Anamelemeta, Anamelemeta

Mawifi naona wanacheza namshenga
Siwalisema haolewi
Leo wametuliza ngenga
Walemaex walompiga chenga
Wanaona wivu mwajuma anapigwa denda
Mbona wanaosema ana gundu
Ndo hao wanalishwa keki
Na walosema haolewi
Ndo wana maliza kleti
Wasonakadi ndo wameingia bila wito
Simlimchamba biharusi mbona mnacheza kwaito
Kampakampa tena uponyonyo (nipo titi)
Najua hujachanga usiogope (cheza mziki)
Mwajuma anakata mauno anaonekana fundi
Saitakuaje tumuulize ngungi

Mwajuma kaolewa (eeeh kaolewa)
Kaolewa wanasema nimgumba kaolewa ( eeh na nani)
Ham ham ham ham kaolewa (toba)

Anamelemeta, Anamelemeta
Anamelemeta, Anamelemeta

Simwamini mwajuma hata kama leo kaolewa
Nampa wiki tatu tu talaka lazima atapewa
We unawivu au umetumwa
Au ulimtaka akakataa
Minampa miaka mia nane atadumu na utashangaa
We mgeni hapa kitaa usibishe niskize mimi
Wacha mwajay apate raha
Kasha dang asana mjini
Olivunja ndoa ya baba sembuse huyo kapuku
Tufinye cha mtume hayo mengine haya tuhusu
Anameremetaa...
Eeeh hiii ni nyingine tena
Hmm ni Rostam tena
Musa babaz wa babaz

Let’s take over the game

 

Ecouter

A Propos de " Kaolewa"

Album : Kaolewa (Single)
Année de Sortie : 2018
Ajouté par : Afrika Lyrics
Published : Oct 04 , 2018

Plus de Lyrics de ROSTAM

ROSTAM
ROSTAM
ROSTAM

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl