Paroles de Kipenda Roho
Paroles de Kipenda Roho Par RAMA DEE
Yeah oh
This is a special song that goes up to the one lady
Yeah! aliyeushika moyo wangu right...
You're my Queen
Been around and I'm seen a lot of girls but my heart choose you
Been a lot of girls and right to right of girls
But my heart loved you
Hata waseme nitabaki nawe
Story zaundwa ili watuonge,
Ukweli wa ndani twaujua mi na wewe
Hata waseme nitabaki nawe
Ukweli wa ndani twaujua mi na wewe...
It's how we feel...
Nakupenda mama... wooh uwooh
I love you girl hey yeah
Nakupenda mama... wooh uwooh
I love you girl hey yeah
Vile mi na hustle kuweka mambo sawa nikuone ukiwa na furaha,
Tabasamu lako ndo linanipa raha...
Sometimes mi nakesha nashindwa hata kulala
Nikikosa mwenzako napagawa
Vipi nitakutunza my baby tuwe sawa...
Moyo utahangaika nikikukosa wee...
Machozi yatanitoka nikikwaza wee
Eti huondoke nibaki mwenyewe
Ndio maana napambana nikutunze wee...
Usiku na mchana nitafute mawe
Sababu siwezi kuishi bila wewe
Nakupenda mama... wooh uwooh
I love you girl hey yeah
Nakupenda mama... wooh uwooh
I love you girl hey yeah
(Hata waseme nitabaki nawe story zaundwa ili watuongee
Ukweli wa ndani twaujua mi na wewe
Hata waseme nitabaki nawe,
Ukweli wa ndani twaujua mi na wewe...)
It's how we feel...
(I love you mama) I love you Duken
(I love you girl) Switch off (hey yeah)
Rocker
Ecouter
A Propos de "Kipenda Roho"
Plus de Lyrics de RAMA DEE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl