...

Paroles de Yatapita Par PROFESSOR JAY

Uhmmmm Ay! Oooh yeah mhhhhh……

[HARMONIZE]
Ipo siku na muda eeh
Silali bado na asooo
Kama ipo itakuyja eeeh
Yahalali nile kwa jasho
Ipo siku na muda eeeh
Silali bado na asooo
Naamini ipo itakuja eeeh
Ni halali nile kwa jasho

[CHORUS]
Kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata)
Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee( yata )
Bado tunajikongoja (yatapita yata )
Usijehisi umelogwa (yatapita )wowouwoooo (yata)

[Professor Jay]
Nilijaribu mara ya kwanza wakanambia sitaweza
Nikajaribu mara ya  pili wengi wakasema nacheza
Mara ya tatu marafiki wakanizebeza
Mara ya nne hata kabla Yakuanza nikateleza
Mara ya tano nikafeli wakanibeza
Wengi  wakanambia siwezi faulu bila ya fedha
Mara ya sita nikasita nikaska sauti ikiniita
Kwamba maisha ni vita Jay unaweza
Mara ya saba mambo yalijiongeza
kila nnapoanguka nainuka najisogeza
Nnapopata kidogo nakiwekeza
Maisha chuo kikuu wapaswa kujiendeleza
Mara ya nane Im the man all the way up
King Ndani ya jungle always keep my head up
Usikate tama ( ongeza juudi  tu pambana)
Sitting on the top of the world  kama unaweza

[HARMONIZE]
Ipo siku na muda eeh
Silali bado na asooo
Kama ipo itakuyja eeeh
Yahalali nile kwa jasho
Ipo siku na muda eeeh
Silali bado na asooo
Naamini ipo itakuja eeeh
Ni halali nile kwa jasho

Kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata)
Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee( yata )
Bado tunajikongoja (yatapita yata )
Usijehisi umelogwa (yatapita )wowouwoooo (yata)

[Professor Jay]
Anhaa …
Najua unapata tabu sana wanakutukana
ifikilie kesho yako achana na jana
Najua ata ndugu wa damu wanakukukana
Haya maisha ni vita yapasa kuyapigana
Ujapokea mshahala jikaze bhana usilie
Onzena sana kazi na sara mama ntilie
Maisha ni mapambano halisi sio nguvu ya soda
Usisubili ugeuzwe tu ndo ukabede poda
Nikopamoja nanyi wanangu  wa bodaboda
Dua zangu ziko nanyi mama zangu  wa mbogamboga
Mnapitia mengi ila mambohayaendi
I can, I must , I will kama mengi
Fundi gereji piga kazi kwa bidii ukiweza kesha
Unaweza kua manji modewji ama bahkresa
Usikate tamaa ongeza juudi  tu pambana
Sitting on the top of the world kama unaweza

[HARMONIZE]
Ipo siku na muda eeeh ..(sikuu)
Silali bado na asooo (ebwana salalii)
Kama ipo itakuja eeeh
Ni halali nile kwa jasho..( kwa jashooo…)
Ipo siku na mda eeeh
Silali bado na asooo (asooo mbona silali)
Kama ipo itakuja eeeh .. (eeee)
Nihalali nile kwa jusho

[CHORUS]
Kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata)
Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee( yata )
Bado tunajikongoja (yatapita yata )
Usijehisi umelogwa (yatapita )wowouwoooo (yata)

You know, no one is born to be successful
No one is born to be a star
Hakuna kinachoshindikana
Believe in yourself, Believe in yourself , Believe in yourself

 

 

Ecouter

A Propos de "Yatapita"

Album : Yatapita (Single)
Année de Sortie : 2018
Ajouté par : Rukwa Tv online
Published : Oct 24 , 2018

Plus de Lyrics de PROFESSOR JAY

PROFESSOR JAY
PROFESSOR JAY
PROFESSOR JAY

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant

See alsoVous aimeriez sûrementEssayez l'application Mobile

A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus riche collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2020, New Africa Media Sarl