PRINCE INDAH Twanga Pepeta cover image

Paroles de Twanga Pepeta

...

Paroles de Twanga Pepeta Par PRINCE INDAH


Hakuna matata

Hi asali ndio unataka

Nimetafuta nkapata

Nataka kukufuata

Hakuna matata

Hi asali ndio unataka

Nimetafuta nkapata

Nataka kukufuata

Sama ogik otienoo

Taneno mana

Wachalo winje ariyo

Mafuyo e yama

Kwalando weche hera

Lando bebii nyathi jomoko

Hera ni chalo gweth moro ah

Lando nawerinade mama eh

Ka wer ochopo kare kingereza dawergo

Ka wer ochopo kata swahili dawergo

Sheri sheri osiepna

Lando bi ateri kisumo

Ichamie ngege

Ibae kisumo

Hakuna matata

Hi asali ndio unataka

Nimetafuta nkapata

Nataka kukufuata

Hakuna matata

Hi asali ndio unataka

Nimetafuta nkapata

Nataka kukufuata

Basi nieleke chumbani mama

Nimeletaleta

Hebu legeza kiuno mama

Twanga na pepeta

Basi nieleke chumbani mama

Nimeletaleta

Basi legeza kiuno mama eeh

Twanga na pepeta

Ing'eni ngimana chalo nono kiongeee

Dadi

Herani nyalo rana kiongee

Mmh kiwacho adiera

Nyajomoko hera taeri mama

Wacho adiera

Nyathi jomoko hera taeri mama

Kata ji be wuoro

Penzi letu dar mpaka moro

Oh abebo

Can i make you my sheri

Kutoka dar hadi kisumu mama

Najua utapenda

Siaya kababa

Dala gi obama

Hakuna matata

Hi asali ndio unataka

Nimetafuta nkapata

Nataka kukufuata

Hakuna matata

Hi asali ndio unataka

Nimetafuta nkapata

Nataka kukufuata

Basi nieleke chumbani mama

Nimeletaleta

Basi legeza kiuno mama eh

Twanga na pepeta

Basi nieleke chumbani mama

Nimeletaleta

Basi legeza kiuno mama eh

Twanga na pepeta

Basi nieleke chumbani mama

Nimeletaleta

Basi legeza kiuno mama eh

Twanga na pepeta

Nimeletaleta

Eeh legeza

Twanga na pepeta

Ah legeza kiuno mama eh

Ecouter

A Propos de "Twanga Pepeta"

Album : (Single)
Année de Sortie : 2025
Copyright :
Ajouté par : Farida
Published : May 08 , 2025

Plus de Lyrics de PRINCE INDAH

PRINCE INDAH
PRINCE INDAH
PRINCE INDAH
PRINCE INDAH

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl