
Paroles de Usikate Tamaa
Paroles de Usikate Tamaa Par PETER PAUL MSAFI
Weweeeeh mmmmmh Peter Paul aaai aiye iye…
[CHORUS]
Usikate tamaa kwani mungu yupo
Usirudi nyumaaah mwenzangu mungu yupo
Ata kupigania eeeeh eeeh eeh
Ata kushidania eeeeh eeeh eeh
[VERSE 2]Ganga ganga za mganga huleta tumaini
Kwangu ilikuwa simanzi kumpata mola
Wengi kanitenga haha high
Wengi kanisemea haha why?
Nkafanya burudani wepo kasikika
Kama batimayo ni kaona tena
Nawe usichoke kumwitaa mola
Yeye ni mwema ata kutendea weee
[CHORUS]
Usikate tamaa kwani mungu yupo
Usirudi nyumaaah mwenzangu mungu yupo
Ata kupigania eeeeh eeeh eeh
Ata kushidania eeeeh eeeh eeh
[VERSE 2]
Wanadamu wakatili kila mara wabadilika
ndoa zako kwa wakili ukangambo ya pili
Usione unayo ya pita kuwa mwisho wa ndunia
Kazana tu jitahidi maulana mtazamie
Kazana tu jitahidi maulana mtazamieee
Alinitendea na mimi ata kutendea na wewee
[CHORUS]
Usikate tamaa kwani mungu yupo
Usirudi nyumaaah mwenzangu mungu yupo
Ata kupigania eeeeh eeeh eeh
Ata kushidania eeeeh eeeh eeh
Usikate tamaa kwani mungu yupo
Usirudi nyumaaah mwenzangu mungu yupo
Ata kupigania eeeeh eeeh eeh
Ata kushidania eeeeh eeeh eeh
Ecouter
A Propos de "Usikate Tamaa "
Plus de Lyrics de PETER PAUL MSAFI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl