Paroles de Nasubiri Bado
Paroles de Nasubiri Bado Par PETER BLESSING
Oooh ooh oooh, yeah yeah yeah
Peter Blessing yeah
Eeeya mmh
Kutwa nzima imepita
Nikiwa sina hata cha mfukoni
Naumia hakika, kwani hata marafiki
Hao siwaoni
Kwenye wingu la giza
Sijapata hata faraja tumboni
Koroboni ndio stima
Namweleza yule aonae toka moyoni
Maisha haya ya kizungu nzungu
Ni wapi tena? Sina pa kutorokea(mmh mmh)
Kwenye giza sioni nuru
Ni nini chanzo? Nabaki nikijiongelea
Kama namwona mamangu
Uchochole ndo wimbo na ndo kikwazo
Mi peke yangu
Kwa hakika naangaziwa saana
Machozi ndo yangu
Hata kunivika cha chini Mola wangu pato
Eeeh Mola wangu
Eeh eeh eeeh, Mwenyezi mimi
Mwenyezi! Nasubiri bado
Mwenyezi! Nasubiri bado
Mwenyezi! Nasubiri bado
Nangoja kwako
Mwenyezi! Nasubiri bado
Mwenyezi! Nasubiri bado
Mwenyezi! Nasubiri bado
Nangoja kwako
Mbona mawazo yangu ndo hivyo
Katu sikosi kufikiria
Masikini moyo wangu
Mmmh...mmmh
Tena mzigo wangu mzito
Sina hata wa kunisaidia
Naja kwako Mola wangu
Aah maumivu yangu yalokolea
Toka zama sichoki kusota
Dili zangu za kutegea
Mara napata, saa ingine nakosa
Nyumbani nategemewa
Wamechoka wa kunikopesha
Wazidi niombea
Wasikate tamaaa..ooh ooh ooh
Kama kufunga sio mwanzo
Ni mtindo
Mpaka nashindwa nini ndo chanzo
Ndio maana nimeandika huu wimbo
Mmmh matatizo
Yasokosa likizo
Kilio ndio wangu mtindo
Ni maji yamefika kwa shingo
Kama namwona mamangu
Uchochole ndo wimbo na ndo kikwazo
Mi peke yangu
Kwa hakika naangaziwa saana
Machozi ndo yangu
Hata kunivika cha chini Mola wangu pato
Eeeh Mola wangu
Eeh eeh eeeh, Mwenyezi mimi
Mwenyezi! Nasubiri bado
Mwenyezi! Nasubiri bado
Mwenyezi! Nasubiri bado
Nangoja kwako
Mwenyezi! Nasubiri bado
Mwenyezi! Nasubiri bado
Mwenyezi! Nasubiri bado
Nangoja kwako
Kupambana kidume(Sichoki)
Sala zangu nitume(Sichoki)
Siwasikizi wengine(Sichoki)
Iko siku nitapata
Ecouter
A Propos de "Nasubiri Bado"
Plus de Lyrics de PETER BLESSING
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl