PELIAN GANG Masachoo cover image

Paroles de Masachoo

Paroles de Masachoo Par PELIAN GANG


Galading ting na bushere kubeng
Nikiroga acapella by de ting no chinku
Na slang za bonoko na penye kiorosho
Kinyongi na kachain na kamoshi kama eeeh

Masacho imekam kuwabeba kama koo
Kwa Rabulu tunakam tunakam na mabawa
Barafu kama Quavo kuzicheza kama coke
Ka ni ngoko kuwakunywa kuwakunywa ka kahawa

Akinibamba namuita kejani
Nakashika fiti nakapiga mijeledi
Na kwa -- fiti iyo pongi iko freshi
Kanahema mbio ninabaki nimewaka waka

Niko Kitale shada cheki jo nitake
Kidem ni keki cheki jo anadance vidirty
Masacho sacho cheki jo ni sacho
Masacho sacho cheki jo ni sacho

Masacho, masacho masacho(Masacho)
Masacho, masacho masacho(Masacho)
Masacho, masacho masacho(Masacho)
Masacho, masacho masacho(Masacho)

Mi hupendaga doba mingi zikidundaga design
Naskia niteke manzi jo nimteke videsign
Si anionyeshe ye ni ngori stingo mingi za kuwhine
Naskia doba inachuna ati mistari zinarhyme
Naskia nitoe shati jinika nifeel fine

Mrembo kanaringa sai ni mi nakudeny
Naskia nizitoke kwa vitu ninazitumia
Mashada mbili tatu kumbe zilifika mia
Kilami cheki jo ni mi nazikamia
Nilimseti vela jo amebaki amenijamia
Tena tukateme tena jo doba bado imewabamba
-- ile siku ilijegwa na wakawaka

Niko Kitale shada cheki jo nitake
Kidem ni keki cheki jo anadance vidirty
Masacho sacho cheki jo ni sacho
Masacho sacho cheki jo ni sacho

Masacho, masacho masacho(Masacho)
Masacho, masacho masacho(Masacho)
Masacho, masacho masacho(Masacho)
Masacho, masacho masacho(Masacho)

Na round hii mi nakam nikispit na ubaya
Kama kawa zangu moto nawapeleka na rada
Nipe lighhter puff puff zisharada ka malaya
Mi hupenda tukinyanya tumekuwa vichwa mbaya

Miti freshi lines ni deadly 
Tukiroga basi itabidi mmemedi
Ey mi huchoma na mabiggy wa NACADA
Kama kawa itabidi nimepitisha iyo chain

Niko Kitale shada cheki jo nitake
Kidem ni keki cheki jo anadance vidirty
Masacho sacho cheki jo ni sacho
Masacho sacho cheki jo ni sacho

Masacho, masacho masacho(Masacho)
Masacho, masacho masacho(Masacho)
Masacho, masacho masacho(Masacho)
Masacho, masacho masacho(Masacho)

Niko na ngoko nashikwa na homa
Ukishika hii kaka utahema 
Wananiita Rambo man na sitasema
Na nikikohoa kwenye kitema

Kuzaliwa kwangu ni hio November
Ila niko tao natia alama
-- kukuchom morio wanikemba
Nagutha man haa nimekuja hand sina gun
Nipe plan nap to this plan --
Ukileta hapa nitaiburn burn
Burn burn ngale maaan

Sio lazima nikupe kibare
Ama unibanulie ndio nikubali
Aha sio lazima uniguze pale
Na silewi chakari ndio nikumarry

Niko Kitale shada cheki jo nitake
Kidem ni keki cheki jo anadance vidirty
Masacho sacho cheki jo ni sacho
Masacho sacho cheki jo ni sacho

Masacho, masacho masacho(Masacho)
Masacho, masacho masacho(Masacho)
Masacho, masacho masacho(Masacho)
Masacho, masacho masacho(Masacho)

Ecouter

A Propos de "Masachoo"

Album : Masachoo (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Feb 21 , 2020

Plus de Lyrics de PELIAN GANG

PELIAN GANG

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl