Paroles de Hekalu
Paroles de Hekalu Par PAMMY RAMZ
Nilifurahi waliponiambia
Twende nyumbani kwa baba kuomba
Ni muhimu tusherehekee ya hekaluni
Twende, twende hekaluni
Nilifurahi waliponiambia
Twende nyumbani kwa baba kuomba
Ni muhimu tusherehekee ya hekaluni
Mama twende, twende hekaluni, twendee
Njoo twende, njoo twende (Hekaluni)
Kumtukuza bwana na kumwimbia (Hekaluni)
Mama njoo twende, njoo twende (Hekaluni)
Kumtukuza bwana na kumwimbia (Hekaluni)
Heri sisi tunaojua siri hiyo
Maombi yetu yafungua milango ya mbingu
Nyimbo zetu zatetemesha ibilisi
Twende, twende, twende
Njoo twende, njoo twende (Hekaluni)
Kumtukuza bwana na kumwimbia (Hekaluni)
Mama njoo twende, njoo twende (Hekaluni)
Kumtukuza bwana na kumwimbia (Hekaluni)
Hey njoo twende, njoo twende (Hekaluni)
Kumtukuza bwana na kumwimbia (Hekaluni)
Njoo twende, njoo twende (Hekaluni)
Kumtukuza bwana na kumwimbia (Hekaluni)
Yelele, yelele
Yelele mama wee eeh
Yelele, yelele
Yelele mama wee eeh
Yelele, yelele
Yelele mama wee
Yelele, yelele
Yelele mama wee eeh
Wbaba wamama twende
Sisi sote twende
Vijana wazee twende
Watoto twende, ooh tusibaki nyuma
Twende sote
Watakatifu tuseme Hosana
Kwa mwana wa Mungu aliyetukomboa, Hosana
Watakatifu tuimbe Hosana
Kwa simba wa Yudah aliyetufilia, Hosana
Na wababa waseme, Hosana
Kwa mwana wa Mungu aliyetukomboa, Hosana
Na wamama waimbe Hosana
Kwa mwana wa Mungu aliyetukomboa, Hosana
Na vijana tuimbe, tuimbe tuimbe
Kwa mwana wa Mungu aliyetufilia
Na watoto tuseme, tuseme, tuseme
Kwa simba wa Yudah aliyetufilia
Watakatifu tuseme, tuimbe tuimbe
Kwa mwana wa Mungu aliyetukomboa
Ecouter
A Propos de "Hekalu"
Plus de Lyrics de PAMMY RAMZ
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl