Paroles de Ahadi
Paroles de Ahadi Par PAMMY RAMZ
Ahadi yangu upendo
Kukupenda sitakoma
Ahadi yangu upendo
Kukupenda sitakoma
Nikupende mpaka mwisho, milele
Nikupende mpaka mwisho
Nikupende mpaka mwisho, milele
Nikupende mpaka mwisho
Wewe ndiwe bwana wangu
Msaada wa karibu ndiwe
Wewe ndiwe bwana wangu
Rafiki wa dhati niwe
Wewe ndiwe bwana wangu
Ufafanuzi wa upendo niwe
Naupenda upendo wetu
Naudhamini upendo wetu
Usichakae upendo wetu
Usizime upendo wee
Ahadi yangu upendo
Kukupenda sitakoma
Ahadi yangu upendo
Kukupenda sitakoma
Nikupende mpaka mwisho, milele
Nikupende mpaka mwisho
Nikupende mpaka mwisho, milele
Nikupende mpaka mwisho
Wewe ndiwe jibu la kweli
Mshauri wa dhamani niwe
Ningojapo jibu nikupende
Hata kwa machozi nikupende
Nichanganyikiwapo nikuskize
Nifikapo mwisho nikuamini
Usikome upendo wetu
Usiishe urafiki wetu
Usimwagwe upendo wetu
Usiishe urafiki wetu
Ahadi yangu upendo
Kukupenda sitakoma
Ahadi yangu upendo
Kukupenda sitakoma
Nikupende mpaka mwisho, milele
Nikupende mpaka mwisho
(Nakupenda Yesu)
Ahadi yangu upendo
Kukupenda sitakoma
Ahadi yangu upendo
Kukupenda sitakoma
Nikupende mpaka mwisho, milele
Nikupende mpaka mwisho
Nikupende hadi mwisho
Nikupende mpaka mwisho, milele
Nikupende mpaka mwisho
Nikupende mpaka mwisho, milele
Nikupende mpaka mwisho
Nikupende mpaka mwisho, milele
Nikupende mpaka mwisho milele
Ecouter
A Propos de "Ahadi"
Plus de Lyrics de PAMMY RAMZ
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl