
Paroles de Zarika Style
Paroles de Zarika Style Par PADI WUBON
Si unajua ni genje ni mbwayaa
(Terence on the track)
Hii ni ngoma inataka mtu ako na akili timamu
Kudance ka chizi
Hii ni ngoma ya knockout
Konkasho na akili kutingishika
Hii si ngoma, hii si ngoma
Ongojea chorus, ongojea chorus
Hii si ngoma, hii si ngoma
Ongojea chorus, ongojea chorus
Hii si ngo, hii si ngo
Ongojea cho, ongojea cho
Hii si ngo, hii si ngo
Ongojea cho, ongojea cho
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Destruction, destruction my friend
A 1, a 2, a 3, a 4, opangala
Zarika style
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Zarika style
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Zarika style
Usikaribie, moto wa kuotea mbali
Usikaribie, moto wa kuotea mbali
Usikaribie, moto wa kuotea mbali
Usikaribie, moto wa kuotea mbali
Hii si ngoma, hii si ngoma
Ongojea chorus, ongojea chorus
Hii si ngoma, hii si ngoma
Ongojea chorus, ongojea chorus
Hii si ngo, hii si ngo
Ongojea cho, ongojea cho
Hii si ngo, hii si ngo
Ongojea cho, ongojea cho
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Destruction, destruction my friend
A 1, a 2, a 3, a 4, opangala
Zarika style
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Zarika style
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Zarika style
Hii si ngoma, hii si ngoma
Ongojea chorus, ongojea chorus
Hii si ngoma, hii si ngoma
Ongojea chorus, ongojea chorus
Hii si ngo, hii si ngo
Ongojea cho, ongojea cho
Hii si ngo, hii si ngo
Ongojea cho, ongojea cho
Hii si ngoma, hii si ngoma
Ongojea chorus, ongojea chorus
Hii si ngoma, hii si ngoma
Ongojea chorus, ongojea chorus
Hii si ngo, hii si ngo
Ongojea cho, ongojea cho
Hii si ngo, hii si ngo
Ongojea cho, ongojea cho
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Perepepe kunyamazishwa
Destruction, destruction my friend
A 1, a 2, a 3, a 4, opangala
Zarika style
Ecouter
A Propos de "Zarika Style"
Plus de Lyrics de PADI WUBON
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl