PADI WUBON  Waah! Parody Chwaah cover image

Paroles de Waah! Parody Chwaah

Paroles de Waah! Parody Chwaah Par PADI WUBON


Anawachukua anawafyeka chwaah!
Anawachukua anawafyeka chwaah!
Anawachukua anawafyeka chwaah!
Anawachukua anawafyeka chwaah!

Tamu hujatekwa naye
Tamu unamsikia, tamu hujatekwa naye
Kama hujatekwa naye, tamuu
Tamu hujatekwa naye

Kwa mwenyenyo mwenyenyo
Na akipata pengo kisu utanolewa
Kazi fulani fukara
Neka kali kwa busu

Stepo zake mbaya hivi inawahusu
Mtamjudge mabaya, huwa mnamtusi nyinyi
Hamjavuta mawaya
Na mwaka huu lazima atutumie

Anaingia cha kike, cha kike
Anaingia cha kike, cha cha  cha kike 
Anaingia cha kike, cha kike
Anaingia cha kike, cha cha  cha kike 

Chumbani hamwezi
Kutupatia macandles
Kwa chenga hamtuwezi
Mnakwishaga mabundles

Omwami akiingia tu 
Anawachukua anawafyeka chwaah!
Ah kwenye balcony
Anawachukua anawafyeka chwaah!

Iwe chooni au uwanjani
Anawachukua anawafyeka chwaah!
Anawachukua anawafyeka chwaah!

Tangu usiingie na kana joto
Mateso mjibebe
Oya kama ni joto, mateso mjibebee

Jibebee, jibebee 
Jibebee, jibebee 
Jibebee, jibebee 

Umepatwa ukichimba ye
Umepatwa ukichimba ye

Mpatie njugu, mpatie makaa 
Upatie mpaka umpatie
Napenda chuma, napenda chuma..
Eeeh aah...eeeh aah

Usiniite usinitouch
Salamu weka kwa miguu
Usiniite usinitouch
Salamu weka kwa miguu

Mwezangu umepatika
Dhuluma dhuluma
Umeshindwa kujitetea 
Dhuluma dhuluma

Ecouter

A Propos de " Waah! Parody Chwaah"

Album : Waah! Parody Chwaah (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Dec 06 , 2020

Plus de Lyrics de PADI WUBON

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl