Paroles de Mbele kwa Mbele
Paroles de Mbele kwa Mbele Par OTUCK WILLIAM
Mbele kwa mbele
Na sikuachi nyuma katu
Mbele kwa mbele
Yana hila maneno ya watu
Mbele kwa mbele
Na sikuachi nyuma katu
Mbele kwa mbele
Yana hila maneno ya watu
Umoja na amani
Girl would you marry me
Kitambo kutoka zamani
Nambari hii niwe nami
Nakuona kismati kismati
Ma - wengi maana pesmati
Kama si wewe simapati, sitaki
Kupoteza pendo lako dhati
Hello my baby, usichane na wangu moyo
Mara hata kucheza na wangu moyo
Penzi langu nitunzie
Ooh my baby, usije nipa donda la moyo
Na hata ukinipa nikuwa mchoyo
Tunda langu nitunzie
Mbele kwa mbele
Na sikuachi nyuma katu
Mbele kwa mbele
Yana hila maneno ya watu
Mbele kwa mbele
Na sikuachi nyuma katu
Mbele kwa mbele
Yana hila maneno ya watu
[Joh Makini]
They say black lives matter
I say love lives matter
Eeh I be your shawn be my misscara
All I see is love inna love is colour
Najiskia amani bila kiss kwenye Allah
Mama si we ni kisu ju unakata hawa mafala
African queen jiwe kubwa kwenye bara
Nami si ndio amani mami isome hii ibara
Up and down like impala switch
Kama bahari so najiskia bitch
Maneno chini jua makini juu ya pitch
Maneno mengi huna mimi like this
Nakuskiliza kama nipo kwenye speech
Mama maria vile unanipa my peace
Positive vibes only
Maana nishatuliza boli
Nasaka pesa so we balling
Mapenzi yetu classic suti na tai
Malongo longo sumu tunapenda uhai
Unanipa sababu ya kujimwamba fai
Na usiogope kifo coz love never die
Hello my baby, usichane na wangu moyo
Mara hata kucheza na wangu moyo
Penzi langu nitunzie
Ooh my baby, usije nipa donda la moyo
Na hata ukinipa nikuwa mchoyo
Tunda langu nitunzie
Mbele kwa mbele
Na sikuachi nyuma katu
Mbele kwa mbele
Yana hila maneno ya watu
Mbele kwa mbele
Na sikuachi nyuma katu
Mbele kwa mbele
Yana hila maneno ya watu
Ecouter
A Propos de "Mbele kwa Mbele "
Plus de Lyrics de OTUCK WILLIAM
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl