Paroles de Kinyambiz
Paroles de Kinyambiz Par ODI WA MURANG'A
Odi wa Murang'a
(It's Byron baby)
Nina kinyambiz kadhaa huko kwa parking
Mwenye amebeba ndo ule naaminia car keys
Juzi alichoma ju alinipoteza car keys
Lakini sikujali ju tu alinishushia panties
Hapa wikendi si hatupendagi mababi
Ju wao hufanya huku area upigwe searching
Si ati nilikataa hako kangeus kaniblow
Ni ati buda hizo meno niliogopa biting
Ulitokwa na mbogi yako ju ikifika time
Ya kuchangana kamzinga unatoanga nutin
Niliamka ngware leo kunas hangi'
Ju masherehe jana zilinifikia --
Katoto kakiweza tunakaita (Kanyambiz)
Tuna kadhaa ju zile ni (Vinyambiz)
Sijakataa mamorio wako (Hunting)
Utatoka trrr hapa ukikosa (Kinyambiz)
Katoto kakiweza tunakaita (Kanyambiz)
Tuna kadhaa ju zile ni (Vinyambiz)
Sijakataa mamorio wako (Hunting)
Utatoka trrr hapa ukikosa (Kinyambiz)
Kamenipa joto sai manze fridge yangu ni shoerack
Niliwaomba mustahi na sijazururura
Nionyeshe those styles kushikia mutura
Nilinyamaza mkadhani huyo boy ameanza kuuuza ndula
Unanyonga daily leo buda pretend ati unanyesha
Woo woo woo
Ukinyonga sana utamaliza fingerprint ya gumba
Woo woo woo
Unanyonga daily leo buda pretend ati unanyesha
Woo woo woo
Ukinyonga sana utamaliza fingerprint ya gumba
Woo woo woo
Katoto kakiweza tunakaita (Kanyambiz)
Tuna kadhaa ju zile ni (Vinyambiz)
Sijakataa mamorio wako (Hunting)
Utatoka trrr hapa ukikosa (Kinyambiz)
Katoto kakiweza tunakaita (Kanyambiz)
Tuna kadhaa ju zile ni (Vinyambiz)
Sijakataa mamorio wako (Hunting)
Utatoka trrr hapa ukikosa (Kinyambiz)
Nani ako na pesa nimwambie mahali niko
Nani ako na pesa nimwambie mahali niko
Wacha aringe na anajua chuma yake iko riko
Wacha aringe na anajua chuma yake iko riko
Katoto kakiweza tunakaita (Tunakaita)
Tuna kadhaa ju zile ni (Vinyambiz)
Sijakataa mamorio wako (Hunting)
Utatoka trrr hapa ukikosa (Kinyambiz)
Katoto kakiweza tunakaita (Tunakaita)
Tuna kadhaa ju zile ni (Vinyambiz)
Sijakataa mamorio wako (Hunting)
Utatoka trrr hapa ukikosa (Kinyambiz)
Nani ako na pesa nimwambie mahali niko
Nani ako na pesa nimwambie mahali niko
Wacha aringe na anajua chuma yake iko riko
Wacha aringe na anajua chuma yake iko riko
Ecouter
A Propos de "Kinyambiz"
Plus de Lyrics de ODI WA MURANG'A
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl