Nouvelle chanson de Ochungulo Family ft The Kansoul, - Mpenzi Mtazamaji sortie le 23 juin 2020. H...

Paroles de Mpenzi Mtazamaji Par OCHUNGULO FAMILY

Sinanga chopa matatu yunibeba bure
Sinanga chopa walai
(Mana bad man ting)

Mpenzi mtazamaji, mi nakata maji
Mpenzi mtazamaji, mi nakata maji
Mi sina ubaya, sinanga ubaya
Mi sina ubaya, sinanga ubaya

Ai! Beba beba, akikuja mi nateka
Teka nyama ikideka deka
Napenda kukachocha kakicheka cheka
Na kwa bash mi nameremeta

Mjulubeng ndo nacater cater
Nachanganya changanya ka caburator
Body figa toa calculator
Nikuonyeshe the math ka operator

Usijali ile doh nitaleta
Nakuaga na connect na cordinator
Sina time ya call me later
Aiiii....

Mpenzi mtazamaji, mi nakata maji
Mpenzi mtazamaji, mi nakata maji
Mi sina ubaya, sinanga ubaya
Mi sina ubaya, sinanga ubaya

Msupa uko fine
Unakaa manzi ako 20 na uko thate fae
Nitakurarua leo kama matumbo fry
Ama kare gani? Ama namna gani?

Manze kuna vile, vile nakutamani
Vile unakunywa makali mi nakuogopa
Vile unachapa flash we ni wamunyota
Unapenda Genge naona ukizitoka

Jina yako IG nataka kukustalk
Sipendi mambleina, mambleina mi huwablock
Umetoka salon na bado nakusuka
Usiskize Huddah, usifunge duka

Mpenzi mtazamaji, mi nakata maji
Mpenzi mtazamaji, mi nakata maji
Mi sina ubaya, sinanga ubaya
Mi sina ubaya, sinanga ubaya

Poritik, jeshi iko tick
Njumu tik, looku looku tick
Mangeus tik, matoba ni tick
Tei tik, 'Ssh ssh' tick

Mama mia sema nachotaka
Mama mia sema nachotaka
Kayiela sema nachotaka
Sema nachotaka, sema nachotaka

Mi Fathele sijaanza juzi
Papa ka Sonko nina ujuzi
Bomboclat hatupendi upuzi
Ma headbad mwenda chizi

Mpenzi mtazamaji, mi nakata maji
Mpenzi mtazamaji, mi nakata maji
Mi sina ubaya, sinanga ubaya
Mi sina ubaya, sinanga ubaya

Alejandro ni wewe umepupu?
Ka si Dj ama Bouncer mi nashuku
Niko na aquarium ndani nimefuga kuku
Mayai ya --s si hutoshana na njugu

Miss Kenya ali-use Mwakenya
Jimmy Gait atapata bibi tena?
Cinderella ni agent wa Mpesa
Siwezi katia dem anaitwa Philomena

Na ananiuliza tender ya kupika omena
Tattoo ka za Scofield amehepa jela
Nani mtiaji Princi ama depa?
Ukipatwa na ukedi utawasema?

Mpenzi mtazamaji, mi nakata maji
Mpenzi mtazamaji, mi nakata maji
Mi sina ubaya, sinanga ubaya
Mi sina ubaya, sinanga ubaya

Yoh niaje beiby, usipoteze time
Si unajua Mejja anakuanga na wife
Nelly hakuangi serious na life
Lenga Benzema si unajua ni fisi

Dmore na mandom si unajua ni chizi
Imebaki nani? Si imebaki mimi
Kuja nikushow maisha ya Richie
Usare ma-Uber uingie Mercedes
Usare Fuliza nikupee shilingi
Wacha Toi Market Twende Garden City

Sinanga ubaya!

Ecouter

A Propos de "Mpenzi Mtazamaji"

Album : Mpenzi Mtazamaji (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020 Ochungulo Family.
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jun 23 , 2020

Plus de Lyrics de OCHUNGULO FAMILY

OCHUNGULO FAMILY
OCHUNGULO FAMILY
OCHUNGULO FAMILY
OCHUNGULO FAMILY

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant

See alsoVous aimeriez sûrementEssayez l'application Mobile

A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus riche collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2020, New Africa Media Sarl