NUH MZIWANDA Mama Ntilie cover image

Paroles de Mama Ntilie

Paroles de Mama Ntilie Par NUH MZIWANDA


Ashumera, ashumera
Ashumera, ashumera

Mwenzenu koromeo langu limejawa simanzi
Kuitunza siri (Siri yoyoyoyo)
Kulia lia peke yangu (Peke yangu)
Mlazo kwa mkwenzi, kachiri kachiri (Kachiri kachiri)

Kupelekana kwa waganga rumba
Na kumbe unanipa kasumba
Yaani wivu tu

Kila nawe ulifanya pumba
Kwa tangazo Mziwanda kayumba
Yaani wivu tu

Kwani kisa nini (Kisa nini eeh)
Nimefanya nini? (Fanya nini eeh)
Kila siku mimi, niachie na roho yangu

Niache na roho yangu (Nimwage)
Mama nitilie (Nimwage) Nimwage nimwage
Niache na roho yangu (Nimwage)
Mama nitilie (Nimwage) Nimwage nimwage

Niache na roho yangu 
Mama nitilie
Niache na roho yangu 
Mama nitilie

Kama penzi nilikupa
Kanikamata kanikamata eh eh eh
Ukanituliza na pupa
Kumbe limbwata, kumbe limbwata eh eh eh

Kiki twama unakumbuka
Ulikusudia, ulikusudia wewe
Uliyatangaza kwa pupa
Ulipojisikia, ulipojisikia wewe

Kwani kisa nini (Kisa nini eeh)
Nimefanya nini? (Fanya nini eeh)
Kila siku mimi, niachie na roho yangu

Niache na roho yangu (Nimwage)
Mama nitilie (Nimwage) Nimwage nimwage
Niache na roho yangu (Nimwage)
Mama nitilie (Nimwage) Nimwage nimwage

Sawa sina kiganjo
Unanisakama sakama kwa maneno
Kutusi mali kiganjo
Unanisakama sakama kwa maneno

Sawa sina kiganjo
Unanisakama sakama kwa maneno
Kutusi mali kiganjo
Unanisakama sakama kwa maneno

Ashumera, ashumera eyaa
Ashumera, ashumera
Ashumera, ashumera eyaa
Ashumera, ashumera

Ecouter

A Propos de "Mama Ntilie"

Album : Mama Ntilie (Album)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Apr 06 , 2020

Plus de Lyrics de NUH MZIWANDA

NUH MZIWANDA
NUH MZIWANDA
NUH MZIWANDA
NUH MZIWANDA

Commentaires ( 1 )

.
6361 2025-05-25 00:00:05

I got this site from my pal who shared with me about this site and at the moment this time I am browsing this web site and reading very informative articles at this time. casino en ligne Hi Dear, are you genuinely visiting this web site regularly, if so afterward you will absolutely get good know-how. casino en ligne There's certainly a great deal to learn about this issue. I like all the points you made. casino en ligne This is a topic that is close to my heart... Many thanks! Exactly where are your contact details though? casino en ligne I've been exploring for a little bit for any high-quality articles or weblog posts on this sort of house . Exploring in Yahoo I at last stumbled upon this site. Studying this info So i am satisfied to convey that I've a very excellent uncanny feeling I came upon exactly what I needed. I so much undoubtedly will make sure to do not forget this site and give it a look regularly. casino en ligne I have to thank you for the efforts you have put in penning this website. I am hoping to check out the same high-grade blog posts from you later on as well. In truth, your creative writing abilities has inspired me to get my very own website now ;) casino en ligne Hello very cool blog!! Man .. Excellent .. Superb .. I'll bookmark your web site and take the feeds also? I'm happy to seek out numerous helpful information here within the submit, we need work out more techniques on this regard, thanks for sharing. . . . . . casino en ligne Good day very cool blog!! Guy .. Beautiful .. Amazing .. I will bookmark your web site and take the feeds also? I'm satisfied to search out so many useful information here in the put up, we want develop extra techniques on this regard, thanks for sharing. . . . . . casino en ligne Thanks for sharing your thoughts. I really appreciate your efforts and I am waiting for your further post thank you once again. casino en ligne Yes! Finally someone writes about sss. casino en ligne



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl