Paroles de Chelea Pina
Paroles de Chelea Pina Par NIKKI MBISHI
Yeah yeah yeah
Aah aah aah
Ukiona hakitoi harufu usigongee
Midundo ngonga, piga madufu ni udondokee
Na wale wakali, ukipita Zari ukishinda gari,
Wamechoka tena hawana afadhali (hey)
Weusi wa magamba, ila ndani ni mweupee
Timua vumbi wanapiga chafya cheee
International, tuvuke mashimoo
We hat bakora, watoto wote machinoo
Wanatusoma kama habari,
Mwongozo serikali
Maji kubwa, maji kujaa
Maji ya bahari, chelea pina
Natamba vina, naeka jina
Vina, vinaa, vinaaa
Tunapanda mbegu, kuza mizizi
Subiri jina jina jinaa
Adabu na heshima, busara na hekima
Mapepe wanaruka ruka tumbili na kima
Zunguka sayari, toa neno misemo
Beef tunapanda pande tafuna na meno
Aah mi soldier, wengine wanangoja
Wanangu wanajua tuko pamoja Go!
Che che che chechea vina
Che che chea vina
Tunazungusha kete napiga bao
Mpaka mwisho wanajua aibu kwao
Che che che chechea vina
Che che chea vina
Tunazungusha kete napiga bao
Mpaka mwisho wanajua aibu kwao, bao
Yeah, mademu hawapendi sura,
Wanapenda mashine,
Za ATM na hakuna kingine
Since inamwaga mwaga pesa,
Wamelala, wenye swagga tunakesha
Nimetuma SMS hajibu chochote
Yuko busy na Jux, mara Chibu Dangote
Amekuwa matawi ya juu, matawi ya twiga
Na wala sio matawi ya mbuzi, ziiii
Zizi na koroma, kama kushoboka mwiko nakoroga
Wamekuja na B2 na Corolla(viiimmm)
Wamebeba pistol ni wakora
Niko simple, siko bora,
Migo migo nipo kona
Nikichora mingo za kukaba shingo na kupora
Wametaka kiki, nawapa snare
Nikki siharibiki, ndio maana sinaga spare
Che che che chechea vina
Che che chea vina
Tunazungusha kete napiga bao
Mpaka mwisho wanajua aibu kwao
Che che che chechea vina
Che che chea vina
Tunazungusha kete napiga bao
Mpaka mwisho wanajua aibu kwao, bao
Na huu ndo ule muda wa mi kula
Marapper ni mapimbi sana,
Na kamwe hawawezi wakauza na si sura
Siwezi kumpa mtalii kura
Hatujui kama kachuchumaa ama ka kaa daah
Ama kweli msanii chura
Wengine wanauliza ni nani?
Nawaambia ni mshikaji flani
Pia ambaye niko Ghetto tu
Siku hizi nina vimoney
Kuhusu kunishinda sidhani
Nikiingia booth naweza sema nazama vitani
Mi tani, mi money, za gizani ni gani?
Papa, unajikuta hauko dimbani
Hiyo iko vipi? hautufix bro
Naweza nikachana hivi na ikawa fiti, so
Shoutout kwa JR na Invisible
Chid Benz,One Nikki, peace yoh
Che che che che chechea vina
Che che chea vina
Tunazungusha kete napiga bao
Mpaka mwisho wanajua aibu kwao
Che che che che chechea vina
Che che chea vina
Tunazungusha kete napiga bao
Mpaka mwisho wanajua aibu kwao, bao
Ecouter
A Propos de "Chelea Pina"
Plus de Lyrics de NIKKI MBISHI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl