Paroles de Totorimi
...
Paroles de Totorimi Par NANDY
Ke bana ba
S2kizzy baby
Aah uuuh eeeh
Eeeh
The african princess
Tulianza zamani
Bugana
Tena tukapenda na yeye
Tulianza zamani iiiih
Utoto ujana
Kugombana kupata naye eeeh
Akili nazo zimeshapoteama
Sijiwezi mazima
Mi kwake nyang’anyanga
Nikimuona joto
Majasho kulowana
Nadata mazima
Mimi motto wa mama
Yananoga mapenzi (mapenzi)
Ni matamu mapenzi (mapenzi)
Mi moyo wangu titititi titititi
Walimwengu hawapendi (hawapendi)
Washasemaga mengi (ooh mengi)
Eti naweza kukucheat, kukucheat
Aaaaah aaaaah my totorimi
Oh totorimi, totorimi
Aaaaah aaaaah my totorimi
Oh totorimi, totorimi
Aaaaah aaaaah my totorimi
Oh totorimi, totorimi
Nachokependa wewe hujiski
Hata na maneno yao huyasikii
Au mimi siko sawa
Maneno hayapunguzi power
Watamaliza waganga na manabii
Hata wakupe madawa hawakufiki
Au mimi siko sawa
Maneno hayapunguzi power
Narudi na hii tena
Nikiachana na wewe mapenzi sirudii tena
Wengine hawanitakii mema
Story za uongo, madrama na macinema
Hapenzi pesa, hapendi show ananipenda tu
Iwe chumbani iwe jikoni ni mahaba full
Nikisema i love you ye i love you too
Nan do mana
Yananoga mapenzi
Ni matamu mapenzi
Mi moyo wangu titititi titititi
Walimwengu hawapendi (hawapendi)
Washasemaga mengi (ooh mengi)
Eti naweza kukucheat, kukucheat
Aaaaah aaaaah my totorimi
Oh totorimi, totorimi
Aaaaah aaaaah my totorimi
Oh totorimi, totorimi
Aaaaah aaaaah my totorimi
Oh totorimi, totorimi
Yananoga mapenzi (mapenzi)
Ni matamu mapenzi (mapenzi)
Mi moyo wangu titititi titititi
Walimwengu hawapendi (hawapendi)
Washasemaga mengi (ooh mengi)
Eti naweza kukucheat, kukucheat
Ecouter
A Propos de "Totorimi"
Plus de Lyrics de NANDY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl