Paroles de Za Kuazima
Paroles de Za Kuazima Par NACHA
Okay Amini kwamba mzee wa Bwax hapa
Mtoto wa nje ya ndoa
Nyasubi ndani ya mbanyu
Ugogo wa mende biskuti ya chuma
Aah nikiwa na Nacha
Walete walete kata kigoma akiwa kigoda
Watoto wanapenda bo bo boda boda (Aah)
Maglasi yameendewa mwendo kasi
Kiukweli wanaenda race
Hawa mademu wa mwendo kasi
Jamani wanaenda race
Hao hao wanatamba uswahilini
We kumbe vioo
Na vibeli vya kuazima
Madundo ya kuazima
Wanavyotambia sio vyao
We kumbe vioo
We mawigi ya kuazima
Vijora vya kuazima
Nguo za kuazima mwenzako mi zinanikaba
Ye akipiga pasi nangoja mtoko Tabata
Wanashinda Wanjala mkopoe mtoto kwa Masha
Masela wa kuazima sio siri mi mnanichosha
Vyana viatu vimerudi vichafu
Hazina dinji kurudisha baada ya wiki tatu
Hasa che, cheki mnazima mnaenda kujikosa
Mnaazima koshi ipo siku mtaazima boxer
Nguo za kuazima, ghetto la kuazima
Usipokuwa makini akili utazima
Gari la kuazima, steam ya kuazima
Usipokuwa makini hadi demu utaja azima
Nimeona kweli noma, nikivaa kijizi cha karume nawachoma
Wasela wangu eeh sio kwamba nawachana
Michezo ya kitoto hayo mambo mnayoyafanya
Haya walete kata kigoma juu ya kigoda
Watoto wanapenda bo bo boda boda (Aah)
Haya walete kata kigoma juu ya kigoda
Watoto wanapenda bo bo boda boda (Aah)
Kata treni wa mwendo kasi
Kiukweli wanaenda race
Hawa mademu wa mwendo kasi
Jamani wanaenda race
Hao hao wanatamba uswahilini
We kumbe vioo
Na vibeli vya kuazima
Madundo ya kuazima
Wanavyotambia sio vyao
We kumbe vioo
We mawigi ya kuazima
Vijora vya kuazima
Unatafutwa we dada unatafutwa
Umeazima dera haijarudi kwa jike shupa
Unatafutwa we dada unatafutwa
Umeazima chain hujarudisha
Kibinti kibishi bishi cha mtoni kijiti jiti
Kimeazima carolyte haijarudi kimwizi mwizi
Kijizi jizi, kimiski mbiji
Usoni kimekomaa ka vile kibibi
Wanja kakupa, kope kakupa
Unataka bra ukadange yombo vituka
Ameshashtuka akiazimwa anajuta
Umeazimwa chupi imerudi ramani ya Africa
Kwanza koma, mdomo funga shona
Umeazima panadol wakati unaumwa ngoma
Dada koma wigi uliloazima
Umeenda kugawa kwa huruni kwa kina Menina
Haya walete kata kigoma juu ya kigoda
Watoto wanapenda bo bo boda boda (Aah)
Haya walete kata kigoma juu ya kigoda
Watoto wanapenda bo bo boda boda (Aah)
Kata treni wa mwendo kasi
Kiukweli wanaenda race
Hawa mademu wa mwendo kasi
Jamani wanaenda race
Hao hao wanatamba uswahilini
We kumbe vioo
Na vibeli vya kuazima
Madundo ya kuazima
Wanavyotambia sio vyao
We kumbe vioo
We mawigi ya kuazima
Vijora vya kuazima
Cheketua, cheketeza ukivua
Ukikosa danga bwana wa mtu dada chukua
Che cheza jasho tokea vumbi timua
Usiogope vumbi usijali dada wa mafua
Nasema kamata chura na kacha uhangaike naye
We akipagawa na ghetto unakwenda naye
We kamata chura na kacha uhangaike naye
Basi kamata kamata, we kamata
We dada kocha kamata, we kamata
Machizi pochi kamata weka
We meneja Sefu...
Ecouter
A Propos de "Za Kuazima "
Plus de Lyrics de NACHA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl