Paroles de Mjinga Mimi/Wajinga Nyinyi
Paroles de Mjinga Mimi/Wajinga Nyinyi Par MOROKO KALAHARI
Hii mambo ni biggy
Alisign for celibacy
Lakini nilipigia huyo msee kura
Na ni kasisi
Mjinga mimi
King Kaka tumekubali hiyo stori...
Wametusanya joh
Stadium imejaa maji utadhani ni aquarium
Matei wanayotuuzia huko makiish manze
Imeingia mpaka kwa cerebellum
Mabuda walishakulwa ganji za NSSF
Can't do fuck yaani CDF
Mvua hainyeshi kila mahali
Ni kama kila mtu anaitwa Wambua
Na bado walisema this is my holiday
Kama ile ngoma ya Jimmy Gait na Kambua
Ata Rambo alisema ye ndo first blood
Lakini ata kabla upate passport unadonate damu
Yaani we ndo the blood first
Mabeast wako na blood thirst
Uradi hazifiki ni kama yaani
Utadhani lineage yako yote iko blood cast
Na wanafocus wakitufollow
Ndo maana tuko na Georges Mboya
Tumewapiga na follow focus
...
Na bado ukimpea ngiri kumi atakupinji
Ecouter
A Propos de "Mjinga Mimi/Wajinga Nyinyi"
Plus de Lyrics de MOROKO KALAHARI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl