Paroles de Wacha Kunicheki
Paroles de Wacha Kunicheki Par MOJI SHORTBABAA
Saint P
Eh Shortii babaa
(Saint P on the beat)
Wacha kikunicheki cheki cheki
Cheki wacha kunicheki
Wacha kikunicheki cheki cheki
Cheki wacha kunicheki
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Ukihesabu kile amedu, kile amedu
Huwezi tulia
Ukihesabu kile amedu, kile amedu
Huwezi tulia
Amekuamsha asubuhi (Ni wewe ulimwambia?)
Amekubariki (Si wewe ulimwambia)
Alikuamsha asubuhi (Ni wewe ulimwambia?)
Amekubariki (Si wewe ulimwambia)
Sifa zikipanda baraka zinashuka
Hii ni ukweli si misemo ya shuka
Sifa zikipanda baraka zinashuka
Pandisha mzuka lipuka ka bazooka
So turn to your neighbour
Kama hashukuru, get another neighbour
So turn to your neighbour
Kama hashukuru, get another neighbour
Wacha kikunicheki cheki cheki
Cheki wacha kunicheki
Wacha kikunicheki cheki cheki
Cheki wacha kunicheki
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Excuse me, me nataka kudance
Ju amenipa chance
Excuse me, ati hutaki kudance?
Na amekupa chance?
Sifa zikianza I'm the hot stepper
Naleta shukurani I'm that one lepper
Eeey mi na ticha ketepa
Shukuru pia jamaa bana wacha temper
Si lazima sigoni, si lazima sigino
Toa jasho toa thigino
Si lazima sigoni, si lazima sigino
Ata kama shida nyingi bro
So turn to your neighbour
Kama hashukuru, get another neighbour
So turn to your neighbour
Kama hashukuru, get another neighbour
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Amekuamsha asubuhi (Ni wewe ulimwambia?)
Amekubariki (Si wewe ulimwambia)
Alikuamsha asubuhi (Ni wewe ulimwambia?)
Amekubariki (Si wewe ulimwambia)
Amekuamsha asubuhi (Ni wewe ulimwambia?)
Amekubariki (Si wewe ulimwambia)
Alikuamsha asubuhi (Ni wewe ulimwambia?)
Amekubariki (Si wewe ulimwambia)
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Shukuru Mungu wako
Katikia Mungu wako
Ecouter
A Propos de "Wacha Kunicheki"
Plus de Lyrics de MOJI SHORTBABAA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl