Paroles de Baharia
Paroles de Baharia Par MKALI WENU
Mabaharia wote kama tulivyokubaliana
Kwenye kikao kilichopinga
Hakuna baharia wowote
Anayeruhusiwa kumwambia dem wake ukweli
Dem yeyote lazima aongopewe
Lakini pia hakuna baharia yeyote
Anaruhusiwa kumpa dem nauli akija ghetto
Tumeelewana mabaharia? Ndio!
(Safi Sana.....)
Mabaharia, kesho nimeitwa ukweni alafu sina kitu
Tunafanyaje? (Dacha)
Ukienda ukweni usiogope kuuma nauli, baharia
Baharia wa kweli anaoga kwa mwezi mara mbili, baharia
Baharia anakopa na kabla hajalipa
Deni anakopa tena, baharia
Ghetto la baharia eeh, halikosi putururu
Hapa vumbi la kungu, pale chuzi la pweza
Ni mamba inatujua eeh, tunavyofanya kufuru
Mara pinda mgongo, chumvini tumeteleza
Hatumi ya kutolea, wala hakatai mimba(Baharia)
Dem wake havalii wiggy, wala hapaki make up(Baharia)
Kisoda wala maji, ni mwendo wa konyagi(Baharia)
Ala laki mbili, anahonga laki tano(Baharia)
Mkita mwenye chura, anakaza hageuki(Baharia)
Akipita kimbaumbau yeye kabisa hashtuki(Baharia)
Mkali joti, naacha snare(Baharia)
Dj choka, idadi lipia(Baharia)
Hahahaha mabaharia wangu wote Tanzania
Manake sahivi wengi wanavaa vigodoro
Hahahaha...
Baharia gani Peter Msechu na ina kitambi
Baharia gani, Baraka Mwana mweusi
Baharia gani, Juma Lokole kuchamba kwingi
Baharia gani, Fid Q una vijulusi
Baharia gani wewe, mwana mapepe
Baharia gani wewe, alafu mwana mweupe
Baharia gani wewe, mbona sikusomi
Baharia tangu lini akatoka kinondoni
Ghetto la baharia eeh, halikosi putururu
Hapa vumbi la kungu, pale chuzi la pweza
Ni mamba inatujua eeh, tunavyofanya kufuru
Mara la pinda mgongo, chumvini tumeteleza
Hatumi ya kutolea, wala hakatai mimba(Baharia)
Dem wake havalii wiggy, wala hapaki make up(Baharia)
Kisoda wala maji, ni mwendo wa konyagi(Baharia)
Ala laki mbili, anahonga laki tano(Baharia)
Mkita mwenye chura, anakaza hageuki(Baharia)
Leta kimbau mbau yeye kabisa hashtuki(Baharia)
Mkali joti, naacha snare(Baharia)
Dj choka, idadi lipia(Baharia)
Wewe, baharia mgani unaamka hata hunuki mdomo
Baharia wa kweli lazima atoke jasho la kwapa
Na kuanzia leo makutano ya baharia yatakuwa ya Buza peke yake
Baharia gani unatumia simu ya tachi
Dacha!
Ecouter
A Propos de "Baharia "
Plus de Lyrics de MKALI WENU
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl