Paroles de Ex(Remix)
Paroles de Ex(Remix) Par MIMI MARS
Eeh mimi Mars Chuga queen
Ushanitoa nuksi
Kulalama lalama kisa penzi lanikoroga
We ndo mnganguzi
Ulionipa matibabu na ule utamu kunoga
Vidusi wavimbe kiukweli(Kweli)
Vijuso vyao visio haya
Wivu wasonge wenye kejeli
Waficha nyeti kwa vijibwaya
Bendera yafuata upepo
Nilichotaka kishatimia
Tunasubiri kuiona pepo
Kwa vile Jah katutunukia
Ex nenda salama
Wasalimie hao vimada wa bomu wenye biti
Mwenzako nampa nyama
Haichomi anaileta kama ikiwa mbichi
Akinitomasa akinishika mpole mpole(Mpole mpole)
Akinuna akicheka mpole mpole(Mpole mpole)
Hebu mama usifanye hasira pole pole(Pole pole)
Dunia inataka staara pole pole(Pole pole)
Nikikupigia nakucheki tu
Sijamisi mikasibu
Miji ina mengi nauliza ka uko salama tu
Umenikosa najua ndo maana bado uko bitter
Na mpamba tulio naye ila bado unanikumbuka
Fujo za nini shida mbona?
Si ajabu kushindwana
Vijembe moja kwa moja ka nimekuibia figo mama
Uvunguni so nishagoma kuinama
Nishakataa utumwa shika hamsini zako nenda
Usilete noma punguza mzuka
Fisi za Arusha zinapendaga kama vita
Ninapochana ndo utajuta
Utadhani ugomvi na Hitler
Battle la kimbio zako utazikumbuka
Nakuomba sana ka kuachana tuachane
Ka watu wazima, sio manoma utasema
Ndo watu wa kwanza kuachana
Au wa mwisho kupendana
Au ndo mfano wa kutemana
Sio milima sisi ni watu pengine tutakutana
Hebu mama usifanye hasira pole pole(Pole pole)
Dunia inataka staara pole pole(Pole pole)
Akinitomasa akinishika mpole mpole(Mpole mpole)
Akinuna akicheka mpole mpole(Mpole mpole)
I say, no no sitaki tena
Incase you don't know
He is just like Maradona
Like Maradona...
Ex nenda salama
Wasalimie hao vimada wa bomu wenye biti
Mwenzako nampa nyama
Haichomi anaileta kama ikiwa mbichi
Akinitomasa akinishika mpole mpole(Mpole mpole)
Akinuna akicheka mpole mpole(Mpole mpole)
Akinitomasa akinishika mpole mpole(Mpole mpole)
Akinuna akicheka mpole mpole(Mpole mpole)
Ecouter
A Propos de "Ex(Remix) "
Plus de Lyrics de MIMI MARS
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl