Paroles de Tuambie
Paroles de Tuambie Par MIKKA
Ona sasa vile wanatuchanganya
Wanasema ati kazi kwa vijana
Lakini bado hizi kazi hatujapata
Waliyo ahidi hawajafanya
Na kwa habari wajigamba
Lakini jua pia sisi ni wajanja
Tunaona yote ila twanyamaza
Twaachia maulana
Tuambie
Jeh twasonga mbele au twarudi nyuma
Tujenge nchi yetu iwe bora
Au bado turidhike na madrama
Tuambie
Ni siku gani tutaishi na salama
Hadi lini tutanyimana baraka
Au bado mikono mtazikaza
Tuambie
Kura zikikaribia twapatana
Siku zingine ofisi hamtakanyaga
Mteja wanambari hautawahi mpata
Ni rahisi kusahau jana
Jeh bila sisi hizi cheo mgepata?
Pia sisi tunaomba kujipanga
Tufurahie kila mtu madaraka
Na Kesho yetu tuachie maulana
Tuambie
Jeh twasonga mbele au twarudi nyuma
Tujenge nchi yetu iwe bora
Au bado turidhike na madrama
Tuambie
Ni siku gani tutaishi na salama
Hadi lini tutanyimana baraka
Au bado mikono mtazikaza
Tuambie
Jeh twasonga mbele au twarudi nyuma
Tujenge nchi yetu iwe bora
Au bado turidhike na madrama
Tuambie
Ni siku gani tutaishi na salama
Hadi lini tutanyimana baraka
Au bado mikono mtazikaza Tuambie
Tuambie, tuambie, tuambie
Ecouter
A Propos de "Tuambie"
Plus de Lyrics de MIKKA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl