...

Paroles de Miayo Par MAUA SAMA


Ukweli ukiniacha mi nita umiaa

Maana moyoni nimeshakupendaa

Naomba univumilie mchumbaa

Leo tumekosa kesho tutapataa

Piga miayo mwanangu kama una njaa aah

Piga miayo baharia kama una njaa aah

Piga miayo mwanangu kama una njaa aah

Piga miayo baharia kama una njaa aah

Sama

Mwenzako nina joto naskia raha ka nirudi utoto

So baby give it to me ya moto

Ona sa unafanya naongea kingereza

Mara this mara that yani kingereza mara this mara that

Ukweli ukiniacha mi nitaumiaa

Maana moyoni nimeshakupendaa

Nakuomba univumilie mchumbaa

Leo tumekosa kesho tutapataa

Piga miayo mwanangu kama una njaa aah

Piga miayo baharia kama una njaa aah

Piga miayo mwanangu kama una njaa aah

Piga miayo baharia kama una njaa aah

Dada njoo dada njoo njoo njoo

Oya wee me na na na na nakupenda wewe

Ukija ku ku ku ku ku kuniacha mimi

Nita ta ta ta ta ta ta nitateseka

Naomba uni ni ni ni ni nikubalie

Mwenzako naumi mi mi mwenzako naumi mi mi

Mwenzako naumi mi mi mwenzako naumi mi mi

Ha ha ha haiya ni nimekuku ku ku ku ku kubalia

Kwa kwanzia le le leo ni ni wa wapenzi

Ah wachina ni wengi tunawajua

Ila mweusi ni mmoja chini ya jua

Hata maki ni wengi ila mwisha mmoja

Meneja Krisi nisalimie Tayo we sonko Tachi

Watoto hamweza bondeni

Gwiji Mwana FA heshima yako

We Umbwa Mwitu OG

Triple 9 baba

Yusufu Ngage

Usiniletee ua sama nikona Maua Sama humu

Ecouter

A Propos de "Miayo"

Album : (Single)
Année de Sortie : 2025
Copyright : ©?2025 Sama Music.All Rights Reserved.
Ajouté par : Sharon Abonyo
Published : Jul 13 , 2025

Plus de Lyrics de MAUA SAMA

MAUA SAMA
MAUA SAMA
MAUA SAMA
MAUA SAMA

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl