
Paroles de Ni Wewe
Paroles de Ni Wewe Par MATTAN
Kama si wewe mungu nani sasa? Anayeweza nisitiri
Kama si mungu basi ningenyoshwa wangenikabiri
Kwa hiki tu kipaji najionea, wanaleta vita napigania
Hukuniumba mnyonge nikaonewa, nimesimama imara
Ukanipa na mkate, unifae kwa njaa
Ukanipa uvulivu, nivumilie kwa jangwa
Ukanipa na mkate, unifae kwa njaa
Ukanipa uvulivu, nivumilie kwa jangwa
Ni wewe, uliyefanya mimi nikawa mimi
Na milele ni wewe utayefanya nijiamini
Ni wewe, uliyefanya mimi nikawa mimi
Na milele ni wewe utayefanya nijiamini
Ooooh ooooh
Fadhira zako hasabu yake, imezidi hesabu ya mchanga
Kula yangu ni wewe waijua mkombozi nipatapo majanga
Walipo nikimbia watu wakaribu ulinikumbatia
Mimi niliumizwa, nikakomeshwa, ukanifuta machozi
Kuna walio jifanya mungu watu, kwamba bila wao si hakuna kitu
Nawe ukajishihirisha kwao kwamba bila we wao hakuna kitu
Ukanipa na mkate, unifae kwa njaa
Ukanipa uvulivu, nivumilie kwa jangwa
Ukanipa na mkate, unifae kwa njaa
Ukanipa uvulivu, nivumilie kwa jangwa
Ni wewe, uliyefanya mimi nikawa mimi
Na milele ni wewe utayefanya nijiamini
Ni wewe, uliyefanya mimi nikawa mimi
Na milele ni wewe utayefanya nijiamini
Ecouter
A Propos de "Ni Wewe"
Plus de Lyrics de MATTAN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl