Paroles de Ni Mungu Ametaka
Paroles de Ni Mungu Ametaka Par MARTHA MWAIPAJA
Aaana… tuelewaa
Huyu Mungu anatuelewaa
Aaa…natujuaa
Huyu Baba anatujuaaa
Uuuu..siteseke
Ili wakuelewe ameshakuelewaa
Uuu…sihangaike
Kwa kukubali Mungu amesha-kukubaliii
Kuna mambo
Ni Mungu ametaka mwenyewe
Kwa sababu ametaka na leo imekua
Kuna vitu alisha vikubali Baba
Amekubali na sasa imekua
Kuna mipongo alisha-nipangia
Kwa sababu amepanga sasa imekua
Kuna vitu alisha-vielewa kwangu
Ameshaelewa… na leo imekua
Nilijitahidi mimi… kuupata ushindi
Huu ushindi wangu… ni Mungu ametaka
Nilipambanaa nijitetee mwenyewe
Kushinda kwangu…ni Yeye alitaka
Nilipambana mimi niyashinde magumu yale
Siku niliyoshinda…ni Yeye alitaka
Ametaka Mungu…aametaka mwenyewe
Kila kitu cha kwangu ni Yeye ametaka
Ametakaa ametaka mwenyewe
Maisha yangu leo ni Yeye ametaka
Haa.. haleluyaa
Ametaka Mungu ametaka mwenyewe
kila kitu cha kwangu ni Yeye ametaka
Ametaka Mungu ametaka mwenyewe
kila kitu cha kwangu ni Yeye ametaka
Ametaka Mungu ametaka mwenyewe
kila kitu cha kwangu ni Yeye ametaka
Ametaka Mungu ametaka mwenyewe
kila kitu cha kwangu ni Yeye ametaka aaaaah
Huyu Mungu wa ajabu sana
maana akitaka… ameshataka
Hah
Asante Mungu wetu
Kuna mambo ndugu
Amesha-yapanga kwako
Kwa sababu kapanga lazima itakua
Kuna vitu… amesha vikubali kwako
Akisha kubali lazima itakua
Kuna mambo ameyaficha wasiyaone
Ameshakupangia lazima itakua
Usijikatae rafiki wewe jikubali
Amesha kukubali lazima itakua
Usijitaabishe utashinda namma gani
Ameshataka ushinda lazima utashinda
Usijisemeshe sana mbona inachelewa
Ameshakukubali lazima itakua
Ametaka mungu ametaka mwenyewe
Amesha kukubali lazima itakua
Ametaka upone ametaka ushinde
Nakwambia lazima itakua ho hoo ho ooh
Ametaka Mungu ametaka mwenyewe
kila kitu cha kwangu ni Yeye ametaka
Ametaka Mungu ametaka mwenyewe
kila kitu cha kwangu ni Yeya ametaka
Ametaka Mungu ametaka mwenyewe
kila kitu cha kwangu ni Yeya ametaka
Ametaka Mungu ametaka mwenyewe
kila kitu cha kwangu ni Yeya ametaka yeeeeh
Ooooh…oooh
Ecouter
A Propos de "Ni Mungu Ametaka"
Plus de Lyrics de MARTHA MWAIPAJA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl