Paroles de Niamini
Paroles de Niamini Par MAGIX ENGA
Ninachoomba ni uniamini tu
Muda umepita nitakuja tu
Hata kama unipe mwaka (Nipe mwaka)
Nilichokisema nitasawazisha
Ninacho omba ni uniamini tu
Muda umepita but am coming home
Hata kama unipe mwaka (Nipe mwaka)
Nilichokisema nitasawazisha
My baby girl you know
Ukiwa mbali mi naumia you know
Kwa kila ndoto nakuona uko ndani
Nakutamani tena mami niko mbali
I wish you know vile nahisi kama sijakuona
Mapenzi ugonjwa lini nitapona
Ninacho omba ni uniamini tu
Muda umepita but am coming home
Hata kama unipe mwaka (Nipe mwaka)
Nilichokisema nitasawazisha
Ninacho omba ni uniamini tu
Muda umepita but am coming home
Hata kama unipe mwaka (Nipe mwaka)
Nilichokisema nitasawazisha
Napitia mapicha zangu na wewe
Nawish hadi ningeondoka na wewe
Sijatafuta siwezi pata kama wewe
Michezo funny natamani tu na wewe
I wish ningeondoka tu wewe
Amini nikisema ni wewe
Sijatafuta siwezi pata kama wewe
Ninacho omba ni uniamini tu
Muda umepita but am coming home
Hata kama unipe mwaka (Nipe mwaka)
Nilichokisema nitasawazisha
Ninacho omba ni uniamini tu
Muda umepita but am coming home
Hata kama unipe mwaka (Nipe mwaka)
Nilichokisema nitasawazisha
Ninacho omba ni uniamini tu
Muda umepita but am coming home
Hata kama unipe mwaka (Nipe mwaka)
Nilichokisema nitasawazisha
Ecouter
A Propos de "Niamini"
Plus de Lyrics de MAGIX ENGA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl