Paroles de Aloo
...
Paroles de Aloo Par MAANDY
Mi ndio umaliza umauru kwa madem bad girl
Mi ndio umaliza umauru kwa madem bad girl
Mi ndio umaliza umauru kwa madem bad girl
Mi ndio umaliza umauru kwa madem bad girl
Sisi ndio kusema ni nini unaeza nishow
Mboka imekushinda, si u tuache enda home
Msupa bado gwamgi, na ka tululu kwa tsho
Unani iita ita, nishaku changanya joh
Aloo aloo aloo aloo
Aloo aloo aloo aloo
Unatishia nani
Huskii nakuanga gwangi
Tangu nikue ryma nakuanga chizi flani
Ukinibo, napiga headi, ulie hadi kejani
Uno na kabaya doba ngori ka ajali
Uliza uliza ujue
Mi sitesangi bure
Nakuset ujifufue
Makali makwela kule
Weh ni badman sindio
Utacontrolll ukirushiwa
Niko nje kama jua
Tuma location mko piwa
Msupa backa bend
Clap it up
Backa bend
Clap it up
Msupa backa bend
Clap it up
Backa bend
Clap it up
Sisi ndio kusema ni nini unaeza nishow
Mboka imekushinda, si u tuache enda home
Msupa bado gwamgi, na ka tululu kwa tsho
Unani iita ita, nishaku changanya joh
Aloo aloo aloo aloo
Aloo aloo aloo aloo
Mi ndio umaliza umauru kwa madem bad girl
Mi ndio ufanya ma princess wanapenda ma badman
Siezi lalisha kwamboka miupiganga janta
Nita deal john a wewe ukijifanya smarta
Ka ni ma stingo nimeona ni nini mtu anaeza nishow
Taja zote sema zote zote zote nazi know
Show ma neighbour si mangumi hii ni bag nini blow
Show ma neighbour si makofi hio ni back nina blow
Tinglalingaling
Uno ni mzing
Nawagongea kama school bell aring
Tinglalingaling
Uno ni mzing
Nawagongea kama school bell aring
Sisi ndio kusema ni nini unaeza nishow
Mboka imekushinda, si u tuache enda home
Msupa bado gwamgi, na ka tululu kwa tsho
Unani iita ita, nishaku changanya joh
Aloo aloo aloo aloo
Aloo aloo aloo aloo
Ecouter
A Propos de "Aloo"
Plus de Lyrics de MAANDY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl