Paroles de Useme ft Imocy
...
Paroles de Useme ft Imocy Par M NEX NEX I
Hey yeah oh
M Nex
Yeeh (posho city music)
Hasira haifai kwenye maamuzi
Alisema till I die ameniacha juzi
Kwa maneno ya kusingizia
Yamefanya me nitoe chozi
Sa kwanini umeyazingatia siwezi pona umezidisha dozi
Usiku me silali ni mawazo nateseka juu yako
Na tangu uende mbali ni mateso nateseka juu ya penzi lako
Kipi nilifeli njoo uniambie ukinipa nafasi nikufanyie
Ahadi za kweli zitumie Ukirudi Kwangu utulie
Nakupenda sana usione kama nang'ang'ana
Rudi mama usiwafate wanakudanganya
Basi useme ee nili feli wapi
Nawe useme ee ulifanya mangapi
Basi useme ee
Nawe useme useme nilifanya mangapi
(Yoh Nex, unajua mapenzi yanaumiza mwanangu, it's Imocy)
Maktaba yangu ya upendo tayari umeshaichana sasa unafurahi
Zile ahadi kwamba baby hatutokuja kuachana ndo zinantoa uhai
Nikusubirie ama mwenzangu ndo mazima umeshapata mwingne
Aibu yangu mie nilijitapa wamaisha nikakupost na insta
Ona hivi sasa unapost una bwana mwenye ndinga tena unanidharau
Unahisi kama Mungu ridhiki yangu ndo keshaziba na sitopanda dau
Na mi nasema baaasi nimejua ni kiherehere changu tu
Nimefanya mangapi na unajua ukweli but you hide truth
Nakupenda Sana usione kama nang'ang'ana
Rudi mama usiwafuate Wanakudanganya
Nakupenda Sana usione kama nang'ang'ana
Rudi mama usiwafuate Wanakudanganya Nami nasema
Basi useme ee nili feli wapi
Nawe useme ee ulifanya mangapi
Basi useme ee
Nawe useme useme nilifanya mangapi
(it's Imocy, Chief cooker, Nex?)
Ecouter
A Propos de "Useme ft Imocy"
Plus de Lyrics de M NEX NEX I
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl