
Paroles de Mpenzi Wangu
...
Paroles de Mpenzi Wangu Par Lony Bway
This time
Mmmmhh
Lex vanny where you at
Mpenzi wangu
Mpenzi wangu wangu
Wa peke yangu yangu
Chaguo langu we ndo namba moja
Huyu wa kwangu wangu
Wa peke yangu yangu
Chaguo langu ye ndo nambaaa mojaa
Anajua mimi ah
Napenda nini ah
Yuko makini
Na kazi yakeee
Amenifunga mimi ah
Nyuzi tusini wah
Huyu na mimi
Ni mtu na wake
Ovyoo ovyoo
Mi nakupenda ovyo ovyo
Sitobadilisha maishani
Ukikituliza my darling
Oovyo ovyoo
Oovyo ovyoo
Nakusisitiza my darling
Hapo nimemnaliza tayari
Mpenzi wangu wangu
Wa peke yangu yangu
Chaguo langu we ndo namba moja
Huyu wa kwangu wangu
Wangu wa peke yangu yangu
Chaguo langu ye ndo nambaaa mojaa
Huyuuu yeee
Ndio nishakuanga mjinga
Ndio nimepagawa
Mmmh mmmh
Na kama unakua busy
Mbona mi sina noma
Ila ukinikumbuka tuu kwenye simu inatosha
Si unajua mapenzi ni mudaa
Wewe kwangu haujatosha
Likiisha salio
Utasubiri niweke vocha
Baby nikwambiee
Moyo unavyoniendea
Pu pa pu
Pu pa pu
Nikikukosa nikwambiee
Moyo unavyo nienda mie
Pu pa pu
Pu pa pu
Eeeeeh
Mpenzi wangu wangu
Wa peke yangu wangu
Chaguo langu we ndo namba moja
Huyu wa kwangu wangu
Wangu wa peke yangu yangu
Chaguo langu ye ndo nambaaa mojaa
Aaaah uuueh aaah
She is my number one
She is my only one
Yeee yeeeeh
This it’s time
Ecouter
A Propos de "Mpenzi Wangu"
Plus de Lyrics de Lony Bway
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl