
Paroles de Manifest
Paroles de Manifest Par KING KAKA
Nimechoka kumanifest, eh eey
The Storyteller ey
(Wuod Omollo) ~ (Wuod Omollo)
I feel like this is the end
Is this the end
Nimejipata deep end
Is this the end
Nafeel kama Jah ananitest
Nimechoka ku-manifest
Nimechoka kupiga chest
Deep end, deep end
Salama, salama
Na wewe niko salama
Salama
Okay King Kaka
Ukiwa kwa giza don't trust every light
Magoti kwa floor nilikutrust every night
Msoto si niceness, unaseti maching kwa pochi
Na kwa darkness ulini-equip na tochi
Road to recovery, bado sijapona
Siwezi kuJudas hata kama sijakuona
Na vile nilkuwa msick nobody in my circle knew
Jeremiah 30:17 nimeicircle juu
Sasa nitatishwa na nani?
Adui ako na insomnia naskia halali
Mshow jeshi yangu ni Jalali!
True story amenitoa mbali
I feel like this is the end
Is this the end
Nimejipata deep end
Is this the end
Nafeel kama Jah ananitest
Nimechoka ku-manifest
Nimechoka kupiga chest
Deep end, deep end
Salama, salama
Na wewe niko salama
Salama
Walinidungisha wakaninyang'anya matrao na mashati
Love ya binadamu bado hukama na masharti
Niliona niwache kukushuku nikushukuru
Hauchelewi ka alarm ya kuku ikikukuru
I felt alone almost ni ka insecrecy
Big up Nana, Mums friends, Na see Casey
We don't answer on time mama am so petty
Zile vitu niliomba kwako Jah am still waiting
Na fan aliniombea niwe wealthy now we still hating
Sasa nitatishwa na nani?
Adui ako na insomnia naskia halali
Mshow jeshi yangu bado ni Jalali!
True story amenitoa mbali
(True story amenitoa mbali)
True story amenitoa mbali
(True story amenitoa mbali)
I feel like this is the end
Is this the end
Nimejipata deep end
Is this the end
Nafeel kama Jah ananitest
Nimechoka ku-manifest
Nimechoka kupiga chest
Deep end, deep end
Salama, salama
Na wewe niko salama
Salama
Ecouter
A Propos de "Manifest"
Plus de Lyrics de KING KAKA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl