
Paroles de Nakukumbuka
...
Paroles de Nakukumbuka Par KAYUMBA
Mmmhh mmmhh
Mafeeling records
Bado nipo mazoezini kusahau uwepo wako
Bado nipo mazoezini kusahau sura yako
Nafanya mazoezi nisahau penzi lako ooh oh ooh
Hivi kweli, mimi nitakusahau
Ah basi tuu vile nikiona vipicha insta naji like sha
Nahisi mhh huenda utaniona usiku nakesha
Ah basi tuu nikiona namba yako naji beep sha
Huenda utapokea najipa moyo siku inapita
Ah yaa yaa yaayaah
Najua hatujakoseana
Ila madhaifu tuu kidogo yalipita
Nisamehe nisamehe
Na wewe kama ulinikosea
Nishasamehe binadamu hatujakamilika
Nikuombee kwangu urejee
Ayaa ah ma mama
Tuu ruru ruru ruru uh
Mmhh
Tuu ruru ruru ruru uh ah
Nakukumbuka
Tuu ruru ruru ruru uh
Mmhh
Mwenzio namba sijafuta ah
Tuu ruru ruru ruru uh
Mmhh
Tuu ruru ruru ruru uh
Ohh ooh
Nakukumbuka
Tuu ruru ruru ruru uh
Ndio ukweli umenitupa
Sio kweli ina maana hunikumbuki hata kidogo
Sio kweli mapema penzi umelipa kisogo
Hivi kweli ndio bando langu la mapenzi limekwisha mama aah
Sio kweli sio kweli ih iih
Ningeomba japo hata nafasi
Na kibarua kimeota nyasi
Mwenzangu umegeuka farasi yani umetimua ah
Mmh uko uliko mnajinafasi
Nakonda mimi kwa mwendokasi
Ahadi peperu kama karatasi
Hisia zaniumbua aah
Najua hatujakoseana
Ila madhaifu tuu kidogo yalipita
Nisamehe nisamehe
Na wewe kama ulinikosea
Nishasamehe binadamu hatujakamilika
Nikuombee kwangu urejee
Ayaa ah ma mama
Tuu ruru ruru ruru uh
Aaaahhhh
Tuu ruru ruru ruru uh ah
Nakukumbuka
Tuu ruru ruru ruru uh
Mmhh
Mwenzio namba sijafuta ah
Tuu ruru ruru ruru uh
Mmhh
Tuu ruru ruru ruru uh
Ohh ooh nakukumbuka
Tuu ruru ruru ruru uh aahh
Ndio ukweli umenitupa
Ecouter
A Propos de "Nakukumbuka"
Plus de Lyrics de KAYUMBA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl