KAY SABA Jeans na Toppa cover image

Paroles de Jeans na Toppa

Paroles de Jeans na Toppa Par KAY SABA


Black power, in a black mind 
This is ours but that's mine 
Talk Sour I don't mind 
Mambo sawa means things fine

Cheki
Juzi operation mathare maboy kukangwa saa mbili mangware 
Same thing in kawangware chief amedai ati ngori Ni parents 
Dandora Ndio ilikua mtaa mkoro aliishi mtere Getare
Msupa akikula ferare usikule moto atahara mangware

Sijai skizana na system
Lakini miucheza na riddim
Mabombo maniga avoid them 
Wakicheza benga wekanga karidim

Sijaiskizana na system 
Sijaiskizana na system 
Sijaiskizana na system 
Sijaiskizana mabombo manigga avoid them

Walinitrace na gadgets former job secret agent
Gun for hire am perfect sai nimefika rank ya Sergent 
Walini nyima kishada na nilikua nimepiga kisachet
Usijichoche na talent Mr Nice alivuma time yake

Miuleta drama na landlord ubidi nishike kishada Ruiru 
Para! Paa! Gunshot, suspect umadwa kwa keja uthiru 
Charity begins at home
Kitui charity huanza na ngilu 
Uunajudge na huauko court
Hio kazi achia philomena Mwilu

Sonko hushinda hio kesi 
Mic alisanya pia judge alikula
Makanga amehepa na change
Ttuko kwa stenje na dere Jonsaga Huruma 
Usinipime ka gauge mafi unatema Ni weh utakula
Nilipunguza gej mkaongeza stock ya chakula na shashola

Saba nadunda na chopa, piga luku jeans na toppa
Kama unatry kunisoma na huna mbuku itabidi umekopa
Skuizi naogopa homa kuchomwa na ngoko kumeza mogoka
Jirani ni informer, bibi yake aliropoka 

Saba nadunda na chopa, piga luku jeans na toppa
Kama unatry kunisoma na huna mbuku itabidi umekopa
Skuizi naogopa homa kuchomwa na ngoko kumeza mogoka
Jirani ni informer, bibi yake aliropoka 

Mdem anadai support ufala ni ataki nicheki mjunia 
Mrazi amehamia kwa plot ashaambia landy kuna vitu miutumia 
Adui mpende for what? Mkate in pieces umweke kwa gunia 
Aref alihepa na stock, mshande ya wera na mtaa alikunia
Sonko amededi kaseki vibaya ashamfanya human resource 
Mapoko ni wengi kwa choir Koinange watoi wapasta ndio most 

Sweet Berry ofcos Konyagi na Chrome ni makali za masos 
Sikupendi of course, hutoangi form na unadai kua close 
Kuwasha local ni loss, mapenzi ni nginyo usichochwe na rose
Am getting so close, haters bado Wana ngoja mi nipige pause
Ex alidunga Tenje mwenye alireplace hajui kuchapa
Scene ilihappen kwa genje camera ya fence ndo haikukacha
Handsome boy na siko Snapchat, wife nlitoa kwa insta
After niwai kamjunia skuizi form hujileta Bila rapsha. 

Suicide mission ehhh
Fala alachochwa na mbogi Mtindwa
Kujeni tuition wehhh
Kosa vision uhame Nairobi
Msupa alikam na aref ikabidi 7 niwapige kombi 
Aref alijifanya chef naskia alachomwa na maji ya pongi

BELIEVE !! 

Ecouter

A Propos de "Jeans na Toppa"

Album : Jeans na Toppa (Single)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jun 21 , 2021

Plus de Lyrics de KAY SABA

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl