Paroles de Usinioneshe
Paroles de Usinioneshe Par KAPASO BKP
Adasco Mtu Mbad
Na kwenye mapenzi sina hasara
Sijawahi kujutia Ukija kichwa kichwa
Ndugu zako watakulilia Sijawaii kupenda
Sijui kung'ang'ania
Hata nikukute baba yangu
Hunioni mimi kulia aah
Shiiiiii Mwanangu usinionyeshe
Demu wako nisije nikapita nae
Oya usinionyeshe Bwana ako nisije nikaruka nae
Usinionyeahe chura wako Nisije nikapita nae
Oya Usinionyesha
Danga lako kesho utanikuta nae
Usiniulize alosabadilisha sielewi
Kwanza mi mwenyewe najionea kiza
Oya aliesabisha simjui
Mi vampire nang'ata na kupulizaaaah
Akili yangu imesha vurugwa
Dawa za kunywa nimeoga
Nishakuwa fisi sielewi
Nakula mpaka mizoga
Aloniloga sijui kafa
Dawa za kuoga nimenawaah
Nakwambia sielewiiiiiiii
Mpaka sierewi tena
Mwanangu usinionyeshe
Demu wako nisije nikapita nae
Nisije nikapita naee eeeeh
Oya usinionyeshe
Bwana ako nisije nikaluka nae
Usinionyeahe Chura wako
Nisije nikapita nae
Oya we Oya we
Nisije nikapita naee Oya
Usinionyeshe Danga lako kesho utanikuta nae
Ukinikuta nae we usishangae
OkAY amini kwamba mzee wa bwax
Hapa mtoto wa nje ya ndoa
Ugoko wa mende biskuti ya chuma
Kataa tuone Chuma kwa chuma cheche we
Juma mahazi msondo
Aah nisalimie mwanangu super mtenje
Wakumuitwa pascal msindo mtoto wa
Azam Beberuuuu kapaso
Apa genius from Tanzaniaaa
Aiii anaitwa Kaiza Ladern
The Don eeeh We hamfrey mieno
Wanang wa Bkp Brand
Oya akili yangu imesha vurugwa
Dawa za kunywa nimeoga
Nakwambia sielewiii iiiii
Mpaka sielewi tena
Ecouter
A Propos de "Usinioneshe "
Plus de Lyrics de KAPASO BKP
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl