Paroles de Shujaa Wa Msalaba
Paroles de Shujaa Wa Msalaba Par KAMIKAZ DU ZOUGLOU
Nashukuru eeeeee
Mwokozi wangu Yesu
Nashukuru eeeeee
Mwokozi wangu Yesu
Nashukuru yayayayaya
Kwa msalabani Yesu alichukua
Heshima yake akatukomboa
Alisulubiwa pale calivari ili
Tuokolewe
Akatukomboa Alisulubiwa pale calivari ili tuokolewe
Yesu Yesu Wewe Ni msaada wewe Ni mkombozi
Wa Ulimwengu
Kujitoa ningekua wapi Mimi
Uuinuliwe
Ubarikiwe Milele
Huyu Yesu Alisulubiwa pale Calivari
Ili tuokoleweKwa msalabani Yesu alichukua
Heshima yake akatukomboa
Alisulubiwa pale calivari ili
Tuokolewe
Eeeeeeeh Ni Asante Baba kwa upeno wako
Ulivyotupenda
Hakuna Kama wewe
Wewe Ni Baba
Unastahili Jehovah
Alichukua heshima yake akatukomboa
Alisulubiwa pale Calivari ili tuokolewe
Kwa msalabani Yesu alichukua
Heshima yake akatukomboa
Alisulubiwa pale calivari ili
Tuokolewe
Yesu Wewe Ni wa Rehema
Ecouter
A Propos de "Shujaa Wa Msalaba "
Plus de Lyrics de KAMIKAZ DU ZOUGLOU
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl